Nawezaje kuondokana na haya majeraha yanayo niumiza moyo wangu

Upo sahihi. Kingine kinachomtesa ni kwamba ni ile dhana au mawazo ya kutaka mpenzi wake mpya anaekuwa nae aendelee pale alipoishia mpenzi wake wa zamani, anafanya Comparison nyingi hilo ndio linalomtesa zaidi.
 
Upo sahihi. Kingine kinachomtesa ni kwamba ni ile dhana au mawazo ya kutaka mpenzi wake mpya anaekuwa nae aendelee pale alipoishia mpenzi wake wa zamani, anafanya Comparison nyingi hilo ndio linalomtesa zaidi.
 
Pole sana binti usikate tamaa. Jaribu kumuomba Mungu ukiwa mwenyewe, usijiwazie mabaya waza vitu positive.

Ukishindwa nenda kwa Mchungaji Mwakasege kama upo Dar, huyu nasikia hana mambo ya mafuta na maji, anatumiwa na Mungu atakusaidia
 

Ushauri utakaokusadia:

1. Mwamini Mungu sana
2. Soma Biblia mistari ya faraja sana
3. Achana na mitandao.
4. Badili mfumo wako wote wa kufikiri

Hakuna mtu atakusaidia kwenye hili
 
Mimi huwa natumia formula moja, sijui kama we itakusaidia.
Ninapopitia changamoto huwa najiuluza maswali kadhaa
Je mimi ni wa kwanza kupata hiyo changamoto??
Je changamoto zangu ni kubwa kuliko za mtu yoyote dunia nzima???
Mfano : mtoto wangu anaumwa sana hadi nakosa raha lakini unajua kuna mtu hana hata huyo mtoto??
Nalalamika kuwa na kipato kidogo lakini kuna watu wanalala njaa
Naumia kwa kutembea peku lakini kuna mtu amekatwa miguu yote..kuna watu ni viwete, vipofu nk, je nawazidi matatizo?
Kwa kuwa we ni mkristo basi utakuwa unaujua wimbo wa "Salama rohoni mwangu"
Mtunzi wa huu wimbo kwanza nyumba zake ziliungua na moto mwaka 1871
Miaka miwili baadaye mdororo wa uchumi ukampa hasara kubwa sana
Mwaka huo huo alipoteza watoto wake wa kike wanne lakini akawa positive na kutunga huo wimbo ambao mpaka leo ni faraja. Sidhani kama ulichopoteza ni kikubwa kuliko yeye
 
Tafuta mahali tulivu lia kwa sauti kubwa uchungu huo uondoke. Uchungu ni mbaya sana, hu-define kila linalokutokea hata kama hayahusiani.
 
Huo wimbo ameimba nani?
 
Soma zaburi 51, alafu omba Toba na Rehema kwa ajili yako na ya mpenzi wako...

Kuna Roho ya mauti kwa ukoo wenu, hivyo omba Toba na Rehema pia kwa ajili ya familia upande wa baba na mama...

Utasahau yote

Utaolewa, Mungu ni mwema...
 
Soma zaburi 51, alafu omba Toba na Rehema kwa ajili yako na ya mpenzi wako...

Kuna Roho ya mauti kwa ukoo wenu, hivyo omba Toba na Rehema pia kwa ajili ya familia upande wa baba na mama...

Utasahau yote

Utaolewa, Mungu ni mwema...
Yes ,aongeze na haya...soma zaburi ya 139..
Alaf focus on Jesus na sio tatizo lako ,sikia : petro alizama kwenye maji kwakuwa aliangalia tatizo baada ya kuendelea kumuangalia Yesu.
Alafu maombi ni mawasiliano yako binafsi na Mungu hatuwezi kuomba itupasavyo isipokua tukimruhusu Roho mtakatifu na kutumika kama chombo cha kuwasiliana na Mungu, hivyo ongea na Mungu kwa namna yoyote na maneno yoyote kwakuwa Anajua shida yako kabla hujasema.
 
Ushauri utakaokusadia:

1. Mwamini Mungu sana
2. Soma Biblia mistari ya faraja sana
3. Achana na mitandao.
4. Badili mfumo wako wote wa kufikiri

Hakuna mtu atakusaidia kwenye hili
Uzi ufungwe
 
Asante kwa kunipa mawazo mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…