Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,564
- 8,810
Iwe kazi, elimu au shughuli yoyote ambayo itanifanya nipate fursa katika mazingira mapya.Connection ya nini?? Kazii au??
Kwamba 22 ni umri wa aina gani?Kumbe 22 tu unahangaika na nn sasaπ€£π€£π€£
Acha ujinga wako kula alale
Kwa Tanzania umri wa 22 hata kubalehe badoKwamba 22 ni umri wa aina gani?
Maisha hayafanani mkuu, kama wewe kwenye umri wa 22 uliishi vizuri basi ni kwako na sio kwa wote.
Am 22 in numbers, but my mind is already 50sKwa Tanzania umri wa 22 hata kubalehe bado
Yan vijana wadogo kabisaa πKumbe 22 tu unahangaika na nn sasaπ€£π€£π€£
Acha ujinga wako kula alale
Huko si ni vita mkuu? Au wewe unafanya biashara za kuuza bunduki na mabomu huko?Dogo njoo huku Goma (DRC) Madili ni mengi
Katika umri wake huu,mimi nimezaa mwanangu wa kwamza ambaye sasa yuko 14yrs, kidato cha pili. Hapo bwana mdogo huyu Bob Manson alikua na miaka 8 ππππKwa Tanzania umri wa 22 hata kubalehe bado
Acha mikwala weweAm 22 in numbers, but my mid is already 50s
Sio mikwala mkuu, kweli mimi nahitaji njia ya kufikia ndoto zangu na naamini ninao uwezo wa kufanya shughuli popoteAcha mikwala wewe
Shughul gani unataka upewe connection. Maana yoyote nayo unawaacha watu puzzledSio mikwala mkuu, kweli mimi nahitaji njia ya kufikia ndoto zangu na naamini ninao uwezo wa kufanya shughuli popote
Ajabu ni kwamba mtaani watu wanadhani mimi niko kwenye 30s kumbe bado sijafika huko.Katika umri wake huu,mimi nimezaa mwanangu wa kwamza ambaye sasa yuko 14yrs, kidato cha pili. Hapo bwana mdogo huyu Bob Manson alikua na miaka 8 ππππ
Shughuli yoyote iliyo halali, sijali kuhusu kipato kikubwa msingi nipate uzoefu na mazingira mapyaShughul gani unataka upewe connection. Maana yoyote nayo unawaacha watu puzzled
Ukiona hivyo kuna mawili, aidha una appearance ya kizee/sio ya umri wako au una mawazo ya namna hiyo pia.Ajabu ni kwamba mtaani watu wanadhani mimi niko kwenye 30s kumbe bado sijafika huko.
Nimeshazoea hiyo hali mkuu na kwa sasa hainisumbui, kinacho nisumbua ni kuona umri unakwenda na mazingira niliyopo hayanipi tumaini.Ukiona hivyo kuna mawili, aidha una appearance ya kizee/sio ya umri wako au una mawazo ya namna hiyo pia.
Kitu ambacho sio kibaya japo sio kizuri pia
Umri bado..japo ni vizur ikawa na hiyo caution..ungesema maeneo ambayo watunwakusaidie mfano kazi za nguvu like mashamban au ujenzi, stewardships..kaz za ofisini etc.Nimeshazoea hiyo hali mkuu na kwa sasa hainisumbui, kinacho nisumbua ni kuona umri unakwenda na mazingira niliyopo hayanipi tumaini.