Nawezaje kupata connection nje ya Tanzania? Msaada kwa anayefahamu

Wadau, sina mengi zaidi ya kusema kwamba naona kabisa Maisha yangu hapa Tanzania yanaelekea pabaya, nadhani suluhisho pekee ni kwenda mbali kama sio nje ya Tanzania basi mbali kabisa na mji wa dar es salaam.

Kama kuna wadau wowote wanafahamu au wana uwezo wa kunisaidia kutimiza hilo naomba msaada wenu.

I'm 22 years old, in good health and capable of doing anything as long as it's morally and legally acceptable.
Tumia akili mwanangu. Hisani huanzia nyumbani. Kama maisha yamekushinda kwenu unadhani nje utayaweza? Yanakushindaje wakati kila siku tunaona mamia ya wachina na wahindi wakijaa Bongo kufaidi fursa ambazo nyinyi hamzioni? Ni suala la kukaa na kubadili mbinu unazotumia katika kupambana na maisha mwanangu. So simpo.
 
Kweli nyumbani ni nyumbani lakini binafsi ndoto na matamanio yangu ni kufanya shughuli sehemu tofauti na nilipo zaliwa ili nipate fursa na mazingira tofauti.

Sitamani niishie hapa Bongo, umri wangu unaniruhusu kwenda sehemu tofauti kufanya mambo tofauti
 
Badilisha hiyo mindset
 
Uwazi gani mkuu wakati niliambiwa kwa siku nitapewa 10k, ajabu nilipewa 20k baada ya siku tano.
We kwakua uliambiwa kwa siku utapewa 10k ukaamua kujiongeza kazi ya siku mbili ukaifanya kwa siku 5 ili ule 50k kumbe fundi nae ni kauzu ukalama 20k
 
Back
Top Bottom