Nawezaje kupata connection nje ya Tanzania? Msaada kwa anayefahamu

Nawezaje kupata connection nje ya Tanzania? Msaada kwa anayefahamu

Ni wazo jema, kuwa mbali na comfort zone Kuna jenga pia, Kuna kujifunza mengi Sana.


Nikudokeze kidogo tu nijuavyo kuhusu kwenda kufanya kazi nje au hata kusoma:

1. Kufanya kazi nje kihalali, lazima uwe na documents, mfano kwa kazi zisizoitaji Sana ujuzi wa darasani, uwe na passport, na kibunda Cha kutosha benki,...Kama unadocuments za kutosha with experiences na industry yako Ni STEM, unaweza kupata visa sponsorship job.

2. Kusoma pia Ni gharama, full funded scholarship nyingi Ni masters na PHD, ingaawa hata bachelor zipo Ila Ni chache, vocational training pia zipo za free without tuition fee, mfano za finland. Lakini pia Kuna Kuna program za lugha, zaweza kuwa entry point yako, then ukishaingia tu legally, unajichanganya .


Kiufupi, mchakato was nje, unaitaji maandalizi ya kutosha, mda na pesa pia. Njia zipo nyingi tu, Ni wewe kuchagua itayoendana na mazingira uliyonayo. Mfano Dv lottery ya USA, express entry ya Canada, Australia, England na ujerumani wanataka manes, engineers na faculty nyingi nyingi za STEM.

KUNA mkuu kauliza kuhusu caregivers jobs, zipo Tena fulll time sponsorship job in canada, uk, Switzerland, USA Ila Zina vigezo na process zake.

Elimu za Africa Mara nyingi. Huwa wanazipuuza, hawazitilii maanani Sana, so kusoma tu without experience unakuwa kazi Sana kupata kazi nje, mfano caregivers, Kuna mitihani lazima ufanye ili kukidhi vigezo vyao, Yaitaji ujitoe kweli kweli, Mda na fedha
Nimekuelewa vyema mkuu, najua kuna mahitaji mengi ili mtu aweze kufanikisha kwenda nje na ndyomaana nimeomba kama kuna mtu anaweza nisaidia hata mawazo tu nijue naanzia wapi.
 
Dogo tulia utabebeshwa SEMBE washirikishe wakubwa zako wowote..
kadiri ya ushauri uupatao.

Tumsifu Yesu Kristo.
Afadhali ningekuwa na wakubwa wa kuwashirikisha hili, lakini najua wao wana maisha yao na mimi bado ndyo kwanza naanza kujitafuta na ni vyema nikafanya juhudi kufikia malengo yangu binafsi.
 
Back
Top Bottom