Nawezaje kupata connection nje ya Tanzania? Msaada kwa anayefahamu

Nawezaje kupata connection nje ya Tanzania? Msaada kwa anayefahamu

Umri bado..japo ni vizur ikawa na hiyo caution..ungesema maeneo ambayo watunwakusaidie mfano kazi za nguvu like mashamban au ujenzi, stewardships..kaz za ofisini etc.
USije pewa connection ya kumwaga zege au kupalilia shamba eka 1 elfu 70 UKATOKA NDUKI 😂😂😂
Mkuu hizo kazi nilishafanya, nakumbuka niliwahi kusugua madirisha 10 kwa msasa na kuyapaka rangi nikaambulia 20k.
Kazi ambayo nilifanya kwa siku tano.
 
Umri bado..japo ni vizur ikawa na hiyo caution..ungesema maeneo ambayo watunwakusaidie mfano kazi za nguvu like mashamban au ujenzi, stewardships..kaz za ofisini etc.
USije pewa connection ya kumwaga zege au kupalilia shamba eka 1 elfu 70 UKATOKA NDUKI 😂😂😂 halaf tuje kufungua uzi hapa "vijana hawako serious kabisa, wanaomba kazi, jnawapa, wanakimbia"
Uyu tumpe shamba la nguruwe kibaha ahangaike nalo atatoa wenge
 
Wengine wanadhani mtu akiomba connection anafanya utani kumbe ni serious....

Hakika Mungu atuongoze tufikie na kuishi ndoto zetu 🙏
Unahisi natania au we mwnyw ndo unataka connection peke Yako m nimeeka nikipata ntashukuru it's through your thread nimepata work lol💔
 
Kabla majukumu hayajakuzidia huu muda ungeokoka kwanza, huenda shetani amekubalisha sura akakuwekea sura ya kizee wewe unaona sawa tu, na unachoka unataka kukimbia uende wapi? Kama nchi yako inakushinda unajuaje ya wengine utaiweza? Kwanini usibadili mazingira kwanza ndani ya Tanzania? Ardhi zinatofautiana huenda baraka zako ziko ata mtwara uende huko ukawe ata superstar😁 jox
 
Back
Top Bottom