Drat
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,340
- 1,599
Achana na hii mentality, utatumika bure au kwa kuonewa onewaShughuli yoyote iliyo halali, sijali kuhusu kipato kikubwa msingi nipate uzoefu na mazingira mapya
Achana na hii mentality, utatumika bure au kwa kuonewa onewaShughuli yoyote iliyo halali, sijali kuhusu kipato kikubwa msingi nipate uzoefu na mazingira mapya
Hapo ndio umejifunza, waswahili ktika makazi magumu usikubali kazi kwa muda, charge kazi kwa kazi. Madirisha kumi mwambie kila dirisha utachaji kiasi kadhaa, ungemwambia kila dirisha elfu 5 au 6 kwa mfano kisha yeye akupe bei kama ukiona bei yake hailipi na umeshiba na unaweza kuvuka siku, piga chini. Thats how you earn your RESPECT.Mkuu hizo kazi nilishafanya, nakumbuka niliwahi kusugua madirisha 10 kwa msasa na kuyapaka rangi nikaambulia 20k.
Kazi ambayo nilifanya kwa siku tano.
Kama ikiwa nje ya nchi sitajali kipato, target yangu ni mazingira mapya na fursa za kukutana na kushirikiana na watu tofauti na hapa TZAchana na hii mentality, utatumika bure au kwa kuonewa onewa
Hiyo nilifanya wakati nipo likizo masomoni, haikuwa kazi rasmi japo nilifanya kwa ustadi mkubwa ila ndyo hivyo nikaambulia kudhulumiwa.Hapo ndio umejifunza, waswahili ktika makazi magumu usikubali kazi kwa muda, charge kazi kwa kazi. Madirisha kumi mwambie kila dirisha utachaji kiasi kadhaa, ungemwambia kila dirisha elfu 5 au 6 kwa mfano kisha yeye akupe bei kama ukiona bei yake hailipi na umeshiba na unaweza kuvuka siku, piga chini. Thats how you earn your RESPECT.
Mkuu kama wewe upo huko mbona umeweza ku survive mpaka sasaningekukaribisha Mogadishu lakini uhai wako ni wa thamani sana
kila mbuzi hula kulingana na urefu wa kamba yakeMkuu kama wewe upo huko mbona umeweza ku survive mpaka sasa
Ukisema urefu wa kamba una maanisha nini mkuu, kipato, uwezo, nguvu au kitu gani?kila mbuzi hula kulingana na urefu wa kamba yake
kama kamba yako ni ndefu, karibu mwamba
Ww si unataka connection nje ya nchi,Hela ndefu Huwa haitaki patulivuHuko si ni vita mkuu? Au wewe unafanya biashara za kuuza bunduki na mabomu huko?
Umesomea afyaJaman na mm pia connection am 18yrs old ladies job kama care givers Ata farm work nafanya pia😎
Hakika, kwenda nje si swala la siku moja, Lina mchakato wake.Mdogo wangu kwa kuwa umeamua kuomba msaada au ushauri.
Weka wazi elimu yako,ujuzi wako
Maisha yako kidogo, mfano unajitegemea au uko nyumbani kwa wazazi au walezi
Uko mkoa gani
Mapendeleo yako n.k
Dogo tulia utabebeshwa SEMBE washirikishe wakubwa zako wowote..Wadau, sina mengi zaidi ya kusema kwamba naona kabisa Maisha yangu hapa Tanzania yanaelekea pabaya, nadhani suluhisho pekee ni kwenda mbali kama sio nje ya Tanzania basi mbali kabisa na mji wa dar es salaam.
Kama kuna wadau wowote wanafahamu au wana uwezo wa kunisaidia kutimiza hilo naomba msaada wenu.
I'm 22 years old, in good health and capable of doing anything as long as it's morally and legally acceptable.
Ni wazo jema, kuwa mbali na comfort zone Kuna jenga pia, Kuna kujifunza mengi Sana.Kweli nyumbani ni nyumbani lakini binafsi ndoto na matamanio yangu ni kufanya shughuli sehemu tofauti na nilipo zaliwa ili nipate fursa na mazingira tofauti.
Sitamani niishie hapa Bongo, umri wangu unaniruhusu kwenda sehemu tofauti kufanya mambo tofauti
No nimeishia form fourUmesomea afya
Kama hutojali, somea Afya Cheti miaka 3 hapa Tz, na Kama kibunda kipo unaweza tafuta foundation course nje na hiyo itakuwa njia yako ya kutokea..No nimeishia form four
usijal kwako hata ukitaka uwe na 60 na me 40 sichomoiUniambie 50/50 Kwa ndoa💔
Sawa mkuuNitafute baada ya masaa manne kutoka sasa naweza kushauri jambo mkuu