Nawezaje kupata connection nje ya Tanzania? Msaada kwa anayefahamu

Mkuu hizo kazi nilishafanya, nakumbuka niliwahi kusugua madirisha 10 kwa msasa na kuyapaka rangi nikaambulia 20k.
Kazi ambayo nilifanya kwa siku tano.
 
Uyu tumpe shamba la nguruwe kibaha ahangaike nalo atatoa wenge
 
Wengine wanadhani mtu akiomba connection anafanya utani kumbe ni serious....

Hakika Mungu atuongoze tufikie na kuishi ndoto zetu ๐Ÿ™
Unahisi natania au we mwnyw ndo unataka connection peke Yako m nimeeka nikipata ntashukuru it's through your thread nimepata work lol๐Ÿ’”
 
Kabla majukumu hayajakuzidia huu muda ungeokoka kwanza, huenda shetani amekubalisha sura akakuwekea sura ya kizee wewe unaona sawa tu, na unachoka unataka kukimbia uende wapi? Kama nchi yako inakushinda unajuaje ya wengine utaiweza? Kwanini usibadili mazingira kwanza ndani ya Tanzania? Ardhi zinatofautiana huenda baraka zako ziko ata mtwara uende huko ukawe ata superstar๐Ÿ˜ jox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ