The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Tumia akili mwanangu. Hisani huanzia nyumbani. Kama maisha yamekushinda kwenu unadhani nje utayaweza? Yanakushindaje wakati kila siku tunaona mamia ya wachina na wahindi wakijaa Bongo kufaidi fursa ambazo nyinyi hamzioni? Ni suala la kukaa na kubadili mbinu unazotumia katika kupambana na maisha mwanangu. So simpo.Wadau, sina mengi zaidi ya kusema kwamba naona kabisa Maisha yangu hapa Tanzania yanaelekea pabaya, nadhani suluhisho pekee ni kwenda mbali kama sio nje ya Tanzania basi mbali kabisa na mji wa dar es salaam.
Kama kuna wadau wowote wanafahamu au wana uwezo wa kunisaidia kutimiza hilo naomba msaada wenu.
I'm 22 years old, in good health and capable of doing anything as long as it's morally and legally acceptable.
wewe usiombe connection mimi nipo ntakuoa sio mda mrefuJaman na mm pia connection am 18yrs old ladies job kama care givers Ata farm work nafanya pia😎
Whatever you think bro, ila wakati ninao pitia najua mimi na sijafanya makosa kuandika na kueleza humu.Nilivyo ona uzi wako wa kuwa na msongo wa mawazo nili dhani ni issue serious, huu wa pili ni Kama ume niondolea kile nlicho kuwa nakuwazia.
Natafuta hausi gelo. Kama upo siriazi njoo PMJaman na mm pia connection am 18yrs old ladies job kama care givers Ata farm work nafanya pia😎
Jaman sikapata option two ya kutatua shida ake maybe💔Nilivyo ona uzi wako wa kuwa na msongo wa mawazo nili dhani ni issue serious, huu wa pili ni Kama ume niondolea kile nlicho kuwa nakuwazia.
Uniambie 50/50 Kwa ndoa💔wewe usiombe connection mimi nipo ntakuoa sio mda mrefu
Kweli nyumbani ni nyumbani lakini binafsi ndoto na matamanio yangu ni kufanya shughuli sehemu tofauti na nilipo zaliwa ili nipate fursa na mazingira tofauti.Tumia akili mwanangu. Hisani huanzia nyumbani. Kama maisha yamekushinda kwenu unadhani nje utayaweza? Yanakushindaje wakati kila siku tunaona mamia ya wachina na wahindi wakijaa Bongo kufaidi fursa ambazo nyinyi hamzioni? Ni suala la kukaa na kubadili mbinu unazotumia katika kupambana na maisha mwanangu. So simpo.
Mkuu nisidanganye labda kuwa cooker msaidizi ila kuwa chief bado ujuzi huo sina.Unaweza kuwa chief cooker?
Hapana siweziUnaweza kukimbia na gunia la kilo 100 begani gizani?
Badilisha hiyo mindsetKweli nyumbani ni nyumbani lakini binafsi ndoto na matamanio yangu ni kufanya shughuli sehemu tofauti na nilipo zaliwa ili nipate fursa na mazingira tofauti.
Sitamani niishie hapa Bongo, umri wangu unaniruhusu kwenda sehemu tofauti kufanya mambo tofauti
Hiyo sio mindset mkuu bali ni imani ya jambo lililo ndani ya moyo wangu, kweli kabisa natamani sana kufanya shughuli nje ya Tanzania.Badilisha hiyo mindset
OkHiyo sio mindset mkuu bali ni imani ya jambo lililo ndani ya moyo wangu, kweli kabisa natamani sana kufanya shughuli nje ya Tanzania.
Kama umefuga kitambi kwanini wasione uko 30+Ajabu ni kwamba mtaani watu wanadhani mimi niko kwenye 30s kumbe bado sijafika huko.
Mkuu unanishauri nini kuhusu swala la connection, ni wapi au namna gani naweza kufanya ili nitimize adhma yangu?Kama umefuga kitambi kwanini wasione uko 30+
We kwakua uliambiwa kwa siku utapewa 10k ukaamua kujiongeza kazi ya siku mbili ukaifanya kwa siku 5 ili ule 50k kumbe fundi nae ni kauzu ukalama 20kUwazi gani mkuu wakati niliambiwa kwa siku nitapewa 10k, ajabu nilipewa 20k baada ya siku tano.
Mkuu naona huna cha zaidi bali kuleta hoja za kimasihara na mizahaWe kwakua uliambiwa kwa siku utapewa 10k ukaamua kujiongeza kazi ya siku mbili ukaifanya kwa siku 5 ili ule 50k kumbe fundi nae ni kauzu ukalama 20k
Una ujuzi gani ? Weka wazi ili upate connection , watu hawajali we ni nani wanajali unajua nini, kwahiyo elezea ujuzi ulionaoMkuu unanishauri nini kuhusu swala la connection, ni wapi au namna gani naweza kufanya ili nitimize adhma yangu?
Dah mshauri dogo vizuri bana. Asije kushtuka kachelewa. Ukiwa na dogo anafikiri hivi inatia moyo. Kuna madogo wa umri wake ukikaa nao wanapiga story za Etuguru, Playstation, wanajipa namba sijui 45,26.. Bora dogo anafikiri vizuriKumbe 22 tu unahangaika na nn sasa🤣🤣🤣
Acha ujinga wako kula alale