Nawezaje kupata connection nje ya Tanzania? Msaada kwa anayefahamu

Nimekuelewa vyema mkuu, najua kuna mahitaji mengi ili mtu aweze kufanikisha kwenda nje na ndyomaana nimeomba kama kuna mtu anaweza nisaidia hata mawazo tu nijue naanzia wapi.
 
Dogo tulia utabebeshwa SEMBE washirikishe wakubwa zako wowote..
kadiri ya ushauri uupatao.

Tumsifu Yesu Kristo.
Afadhali ningekuwa na wakubwa wa kuwashirikisha hili, lakini najua wao wana maisha yao na mimi bado ndyo kwanza naanza kujitafuta na ni vyema nikafanya juhudi kufikia malengo yangu binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…