BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Kuna some people nimepoteza contacts zao ila nina picha zao nahitaji kuwapata kupitia facial recognition
Usiseme haiwezekani, sema hujui.Haiwezekani kirahisi mitandao pia huwa wanalinda privacy za wateja wao.
Em fafanua zaidi.Usiseme haiwezekani, sema hujui.
Sasa hv kuna Google lens, ukiwa na picha tuu unapata details zote za hizo picha kwenye kila web
Download app ya Google lens, nenda ilipo hy picha unayoitaka Afu share Kwenye hy Google lens itasearch na kukuletea mahali ilipo hy picha na maelezo yake.Em fafanua zaidi.
Hivi vitu vipo wazi kabisaaUsiseme haiwezekani, sema hujui.
Sasa hv kuna Google lens, ukiwa na picha tuu unapata details zote za hizo picha kwenye kila web
Mtu akiwa hajui anaona haiwezekani 😂Hivi vitu vipo wazi kabisaa
Mimi huwa nina taratibu ya kuhifadhi namba(upload) kwenye social medias/Gmail nazotumia ili iwe rahisi pale napopoteza kifaa changu cha mawasilianoMtu akiwa hajui anaona haiwezekani 😂
Sasa mwngn ambaye hajui hilo atasema haiwezekani mana Gmail n Kwa ajili ya kutuma na kupokea email 😂Mimi huwa nina taratibu ya kuhifadhi namba(upload) kwenye social medias/Gmail nazotumia ili iwe rahisi pale napopoteza kifaa changu cha mawasiliano
Km haikuwahi postiwa mtandaoni je?Download app ya Google lens, nenda ilipo hy picha unayoitaka Afu share Kwenye hy Google lens itasearch na kukuletea mahali ilipo hy picha na maelezo yake.
Huwezi kuonaKm haikuwahi postiwa mtandaoni je?
Duuh mbna hatarii hii, ila nimeuliza je km hiyo picha haikuwahi postiwa mtandaoni??N kama hv
View attachment 3333550
Hii picha ya mwisho imeleta web ya JF ambayo hii picha unatumia ww cocastic
View attachment 3333551
Aaah hapo sawaa.Huwezi kuona