Nawezaje kupata mitandao ya kijamii ya mtu kwa kupitia picha yake.?

Usiseme haiwezekani, sema hujui.
Sasa hv kuna Google lens, ukiwa na picha tuu unapata details zote za hizo picha kwenye kila web
Mimi nasemaga tunakosea sana kumpambanisha Mzungu na Mchina. Mzungu akili nyingi saaana. Ile Google lens na AI ni moto mwingine.
 
Wazungu level nyngn kabisa, Waafrika tuendelee kuzaliana tuu
 
Back
Top Bottom