Nawezaje kupata mitandao ya kijamii ya mtu kwa kupitia picha yake.?

Mtu akiwa hajui anaona haiwezekani 😂
Mimi huwa nina taratibu ya kuhifadhi namba(upload) kwenye social medias/Gmail nazotumia ili iwe rahisi pale napopoteza kifaa changu cha mawasiliano
 
Mimi huwa nina taratibu ya kuhifadhi namba(upload) kwenye social medias/Gmail nazotumia ili iwe rahisi pale napopoteza kifaa changu cha mawasiliano
Sasa mwngn ambaye hajui hilo atasema haiwezekani mana Gmail n Kwa ajili ya kutuma na kupokea email 😂
 
Download app ya Google lens, nenda ilipo hy picha unayoitaka Afu share Kwenye hy Google lens itasearch na kukuletea mahali ilipo hy picha na maelezo yake.
Km haikuwahi postiwa mtandaoni je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…