A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 24,239 Reaction score 43,082 May 16, 2025 #21 Mbaga Jr said: Usiseme haiwezekani, sema hujui. Sasa hv kuna Google lens, ukiwa na picha tuu unapata details zote za hizo picha kwenye kila web Click to expand... Mimi nasemaga tunakosea sana kumpambanisha Mzungu na Mchina. Mzungu akili nyingi saaana. Ile Google lens na AI ni moto mwingine.
Mbaga Jr said: Usiseme haiwezekani, sema hujui. Sasa hv kuna Google lens, ukiwa na picha tuu unapata details zote za hizo picha kwenye kila web Click to expand... Mimi nasemaga tunakosea sana kumpambanisha Mzungu na Mchina. Mzungu akili nyingi saaana. Ile Google lens na AI ni moto mwingine.
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 24,239 Reaction score 43,082 May 16, 2025 #22 cocastic said: Duuh mbna hatarii hii, ila nimeuliza je km hiyo picha haikuwahi postiwa mtandaoni?? Click to expand... Achana na mzungu. Tunakosea sana kumpambanisha na mchina.
cocastic said: Duuh mbna hatarii hii, ila nimeuliza je km hiyo picha haikuwahi postiwa mtandaoni?? Click to expand... Achana na mzungu. Tunakosea sana kumpambanisha na mchina.
jongoediga Member Joined Nov 20, 2017 Posts 12 Reaction score 40 May 16, 2025 #23 BabaMorgan said: Kuna some people nimepoteza contacts zao ila nina picha zao nahitaji kuwapata kupitia facial re Click to expand...
BabaMorgan said: Kuna some people nimepoteza contacts zao ila nina picha zao nahitaji kuwapata kupitia facial re Click to expand...
jongoediga Member Joined Nov 20, 2017 Posts 12 Reaction score 40 May 16, 2025 #24 BabaMorgan said: Kuna some people nimepoteza contacts zao ila nina picha zao nahitaji kuwapata kupitia facial recognition Click to expand... Zirudishe kupitia facebook
BabaMorgan said: Kuna some people nimepoteza contacts zao ila nina picha zao nahitaji kuwapata kupitia facial recognition Click to expand... Zirudishe kupitia facebook
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 May 16, 2025 #25 Aleyn said: Mimi nasemaga tunakosea sana kumpambanisha Mzungu na Mchina. Mzungu akili nyingi saaana. Ile Google lens na AI ni moto mwingine. Click to expand... Wazungu level nyngn kabisa, Waafrika tuendelee kuzaliana tuu
Aleyn said: Mimi nasemaga tunakosea sana kumpambanisha Mzungu na Mchina. Mzungu akili nyingi saaana. Ile Google lens na AI ni moto mwingine. Click to expand... Wazungu level nyngn kabisa, Waafrika tuendelee kuzaliana tuu