KISHINDO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 2,165
- 1,906
Rudisha hivyo vyeti huko ulikosoma wakurejeshee ada yako!Ndg nawezaje kupata mkopo wa tsh Milion 1 na laki 2 tu, kwa dhamana ya vyeti vyangu? Cheti cha Diploma-CBE, cheti cha Degree-TIA, ikiwa pamoja na vyeti vingine mf cha form 4, cha kuzaliwa n.k
Ni vyeti original kabisa pia bado navihitaji kwani sijakata tamaa kuhusu Ajira, hivyo sio kwamba navitelekeza hapana. Kiukweli nina shida nahitaji msaada.
Niko tayari kulipa kwa riba na kuandikishana kwa mwanasheria, kwasasa nipo Mkoa wa Pwani ya Kibaha.
Naomba kuwasilisha kwenu wana JF.