Naamini mmeamshwa vyema wakuu.
Niende kwenye mada, nina shida sana na Tsh. Milioni moja, naihitaji kwa ajili ya mtaji, (kuna jiko la kupikia chakula sehemu ya bar nataka kulichukua niweke vijana wapike) nikisema kukopa sina cha kuweka dhamana, ukisema uombe kwa ndugu hamna kila mtu anasema hana.
Nikiwaza maisha ndo hivo yanaenda kasi bila kuwekeza wekeza hufanikiwi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina cha kuweka dhamana ndugu kusema kikafikie thamani ya hiyo hela.Tafuta dhamana ukope hata laki 5 uanze nayo ningekuwa nakufahamu vizuri ningekudhamini laki 5
Sent using Jamii Forums mobile app
Njema amu , Ulisafirikwenda ughaibuni? Yaani ulijikausha mpaka nikaanza kuogopa
Duh! Ulipambanaje mkuu kutoka 23980/= mpaka 3.9 mil kwa mda wa wiki moja tu?mkuu anzia hapohapo hata kama una elf ishirini. Ilishawahi kunitokea nina 50,000 kwenye account then nina familia nilifikiria sana namna ambavyo naenda kufedheheka. Nilifumba macho nikatumia 20usd (23980tsh) nilipambana hadi kuifikisha 3.9M ndani ya wiki moja. Anything is possible.
NB. huu ni ushuhuda wangu for motivational purposes only na sio kumshawaishi mtu.
Duh! Ulipambanaje mkuu kutoka 23980/= mpaka 3.9 mil kwa mda wa wiki moja tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu tupe ushuhuda ndugumkuu anzia hapohapo hata kama una elf ishirini. Ilishawahi kunitokea nina 50,000 kwenye account then nina familia nilifikiria sana namna ambavyo naenda kufedheheka. Nilifumba macho nikatumia 20usd (23980tsh) nilipambana hadi kuifikisha 3.9M ndani ya wiki moja. Anything is possible.
NB. huu ni ushuhuda wangu for motivational purposes only na sio kumshawaishi mtu.
Unachokiongea ni kweli uaminifu ni changamoto bila kumbana mtu unaambulia hola kweli, ila hao vijana nilishawahi fanya nao kazi sema tukaja kuacha wote maana mwenye jiko alikua anataka tufanye kazi bure (tusijilipe) tumkuzie Kwanza mtaji wake ukikua ndo tuanze kujilipa, na hapo hapo kazi ni kuanzia saa moja asubuh mpaka saa sita usiku, na bado akila yeye bili halipi.Tatizo wala sio kupata hio 1 m tatizo ni je una uhakika hio 1m itazaa au itaishia kwenye kukodi hilo jiko kuwalipa vijana ujira wao, kununua matumizi ya siku chache na kuishiwa kuibiwa na hao vijana wako wa kazi...
Watanzania sio waaminifu kabisa bila kuwepo na kukaba mpaka penalty utaambulia kutoa matumizi na kulipa mishahara kutoka kwenye mshahara wako wa kazi nyingine na kutokuona hata chembe ya faida...
Mkuu $20 ni karibia 46000 na kitu mbona umeweka 20000?mkuu anzia hapohapo hata kama una elf ishirini. Ilishawahi kunitokea nina 50,000 kwenye account then nina familia nilifikiria sana namna ambavyo naenda kufedheheka. Nilifumba macho nikatumia 20usd (23980tsh) nilipambana hadi kuifikisha 3.9M ndani ya wiki moja. Anything is possible.
NB. huu ni ushuhuda wangu for motivational purposes only na sio kumshawaishi mtu.
yes mkuu ni typing error, hapo ni 46,800tzsMkuu $20 ni karibia 46000 na kitu mbona umeweka 20000?
Au ulitumia $10?
Ebu tupe ushuhuda ndugu
Tafuta wanaume kumi uwapange,
Sorry akiwa ni Me unalumanga Hivyo hivyo bwasheeKama unashida na hiyo millioni ni pm ila kweli uwe ni ke na pili shida kweli iwe ni million 1 sio zaidi ya hapo njoo na business plan yako chonde chonde kama ni mke wa mtu hapana siitaji
Sent using Jamii Forums mobile app
nishasema sikusudii kumvuta/kumshawishi mtu uwe unatumia akili walau mara moja kwa mwaka basi ebooUsishangae akikwambia betting au forex.
Ukijichanganya umekwisha.
nishasema sikusudii kumvuta/kumshawishi mtu uwe unatumia akili walau mara moja kwa mwaka basi eboo
Okay.
Amini nakwambia, hii thread itakupa hiyo hela.
Uthubutu wako na ukweli ndo dhamana yako.