Pinda Nhenagula
Member
- Jan 26, 2019
- 87
- 113
Pole sana mkuu kwa kufiwa na wazazi.Wakeup habar za wakati huu ,samahani sana Nina jambo lakuwashilikisha hapa jamani .Mimi ni kijana nimefiwa na wazazi wangu wote kwakufatana yaan alitangulia Baba ikapita wiki moja Na Mama pia akafariki πͺπͺπͺ. Dah! Sasa swala langu so Hilo ila nilipenda ni rejee kidogo . SWALI:Je Nawezaje Kutoa Hela kwenye Akaunti ya Laini ya Marehemu Baba mzazi.
Pesa hizo zitatolewa tuu baada ya msimamizi wa mirathi kusimamia ugawaji wa hizo pesa na kuwe na muhtasari wa wanafamilia kuwa fulani atapata kiasi fulani cha fedha. Mahakama ndio itaandika cheki ya kuwalipa waliogawiwa.Kama ni account ya bank nenda bank utapewa taratibu zote
Kama ni mtandao wa simu na upo dar es salaam nenda makao makuuu kama Voda nk
Ila cheti cha kifo lazima kiwepo wathibitishe kuwa amefariki
Na muhtasari wa kikao cha mirathi! Hiyo hela si rahisi kuipataKama ni account ya bank nenda bank utapewa taratibu zote
Kama ni mtandao wa simu na upo dar es salaam nenda makao makuuu kama Voda nk
Ila cheti cha kifo lazima kiwepo wathibitishe kuwa amefariki
Pole sana kwa msiba wa wazazi,zipo taratibu za kufuata kisheria utakapofungua/mtakapofungua mirathi kwa sasa muhimu kufanya ni kwenda office za mtandao aliokuwa anatumia baba au mama wape taarifa za kifo chake ili line wasiifunge.kijana nimefiwa na wazazi wangu wote kwa kufatana yaan alitangulia Baba ikapita wiki moja na Mama pia akafariki πͺπͺπͺ. Dah!
Sasa suala langu so Hilo ila nilipenda ni rejee kidogo . SWALI:Je Nawezaje Kutoa Hela kwenye Akaunti ya Laini ya Marehemu Baba mzazi.
Nachojua mimi kama huna password ya account ya pesa za kwenye simu ya line husika inakuwa blocked,sasa njia unayotaka kuitumia wewe na mtoto wa marehemu ni kui-hack au utai-swap?Ipo shs ngapi? Estimate? Ni PM chap na haraka