SPYMATE
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 2,071
- 1,960
Kama nazijua passcode za mzee wangu natoa tu then naweka mezani tunagawana pasu pasu.Lakini ni kosa kutoa hiyo pesa baada ya muhusika kufariki, hivyo fuata taratibu
Huko mtandaoni Nako nasikia si salama maana Kuna michezo mingi sana pindi ukishawapa taarifa za kifo huwa wanapiga panga kiaina mzee utaambiwa Salio lililopo ni 75K au 51K wa kati mzee Kaacha tumilioni kadhaa.