Nawezaje kutoa hela kwenye laini ya mzazi aliyefariki

Nawezaje kutoa hela kwenye laini ya mzazi aliyefariki

Msimamizi wa mirathi aliyeteuliwa na mahakama ndiye mwenye mamlaka ya kukusanya na kuzigawa mali za marehemu.Hata kama ni mzazi wako kama hujateuliwa na mahakam huwezi kuzitoa, na kufany hivyo ni uhalifu kama uhalifu mwingine.
Tangu lini msimamizi wa mirathi akateuli na mahakama, ni sheria mpya au
 
Mkuu angalia Message PM, Nimekutumia trick.
 
Tangu lini msimamizi wa mirathi akateuli na mahakama, ni sheria mpya au
Nadhani alitaka kumaanisha "kuthibitishwa na mahakama" maana ninavyofahamu familia hukaa kikao cha kumteua msimamizi wa mirathi ila kisheria ni mpaka athibitishwe mahakamani.
 
Mimi nilikuwa na namba za sili za wazazi wangu toka nilipo ingia secondary
Trust issues
 
Mambo si rahisi kama unavyodhani bwana mdogo huwezi kufanya mambo kihuni hivyo,halafu umejuaje kama kwenye line ya baba yako kuna hela?,ulienda kwa waganga wa kichawi?
tuma hata buku kwa namba hiyo inakuja meseji ya salio
 
Pole sana.

Ila kuna mijitwu hamna aibu, sio lazima kila uzi uandike tu upupwu.

Swali lake zuri na litasaidia na wengine kuelimika pia.
 
Kama ni account ya bank nenda bank utapewa taratibu zote

Kama ni mtandao wa simu na upo dar es salaam nenda makao makuuu kama Voda nk
Ila cheti cha kifo lazima kiwepo wathibitishe kuwa amefariki
Huyu Kama muislam lazima apitie taratibu za mirathi kama mkristo sijui sheria zake. Ila nadhani kama ana ndugu huyu nao wana haki yao pia.
 
Barua ya mirathi itumike kwenda kutoa cheti cha kifo pale Rita. Rita wakitoa cheti chake cha kifo kibebe nenda nacho HQ ya mtandao
Kwahyo unataka uwapige bao wenzio au sio...?mimi nafahamu jinsi ya kutoa lakin sikuelekezi mpaka nione barua ya mirathi
 
Nachojua mimi kama huna password ya account ya pesa za kwenye simu ya line husika inakuwa blocked,sasa njia unayotaka kuitumia wewe na mtoto wa marehemu ni kui-hack au utai-swap?

Mleta mada kuwa makini.
Nataka nimchukue maelezo wapo wangap na why afanye hivo instead ya kufuata utaratibu sasa cyo poa kuuliza hadharani mkuu na pia usikute cyo mtt wa marehemu ni muhuni fulani tuu kaotea line
 
Kama ni account ya bank nenda bank utapewa taratibu zote

Kama ni mtandao wa simu na upo dar es salaam nenda makao makuuu kama Voda nk
Ila cheti cha kifo lazima kiwepo wathibitishe kuwa amefariki
Je yeye ndio amechaguliwa kama msimamizi wa Mali na madeni ya marehemu
 
Back
Top Bottom