Kama nazijua passcode za mzee wangu natoa tu then naweka mezani tunagawana pasu pasu.Lakini ni kosa kutoa hiyo pesa baada ya muhusika kufariki, hivyo fuata taratibu
Unaingia kwenye mtegoIpo shs ngapi? Estimate? Ni PM chap na haraka
Kujua kama laini ya mzee wake ina oesa ni rahisi sana! Anaenda kwa wakala anaiwekea pesa hiyo namba anaeza weka hata buku tu , huku kwemye simu ya mzee itakuja sms inayoelezea pesa iliyowekwa pamoja na salio jipya.Mambo si rahisi kama unavyodhani bwana mdogo huwezi kufanya mambo kihuni hivyo,halafu umejuaje kama kwenye line ya baba yako kuna hela?,ulienda kwa waganga wa kichawi?
Nadhani mpaka upeleke cheti kifo na kufuata utaratibu.Wakeup habari za wakati huu,
Samahani sana Nina jambo lakuwashilikisha hapa jamani. Mimi ni kijana nimefiwa na wazazi wangu wote kwa kufatana yaan alitangulia Baba ikapita wiki moja na Mama pia akafariki 😪😪😪. Dah!
Sasa suala langu so Hilo ila nilipenda ni rejee kidogo . SWALI:Je Nawezaje Kutoa Hela kwenye Akaunti ya Laini ya Marehemu Baba mzazi.
Pole. Je wewe ndio uliyeteuliwa kama msimamizi wa mirathi ya mzazi wako?Wakeup habari za wakati huu,
Samahani sana Nina jambo lakuwashilikisha hapa jamani. Mimi ni kijana nimefiwa na wazazi wangu wote kwa kufatana yaan alitangulia Baba ikapita wiki moja na Mama pia akafariki 😪😪😪. Dah!
Sasa suala langu so Hilo ila nilipenda ni rejee kidogo . SWALI:Je Nawezaje Kutoa Hela kwenye Akaunti ya Laini ya Marehemu Baba mzazi.
Hiyo ni miradhi huwezi kuitoa pesa kichwakichwaWakeup habari za wakati huu,
Samahani sana Nina jambo lakuwashilikisha hapa jamani. Mimi ni kijana nimefiwa na wazazi wangu wote kwa kufatana yaan alitangulia Baba ikapita wiki moja na Mama pia akafariki 😪😪😪. Dah!
Sasa suala langu so Hilo ila nilipenda ni rejee kidogo . SWALI:Je Nawezaje Kutoa Hela kwenye Akaunti ya Laini ya Marehemu Baba mzazi.
Vipi kuhusu alama za vidole au atamuwahi marehemu kabla hajazikwaAkiwa na kitambulisho Cha Nida tu kwisha habari hakuna haja ya kufata mautaratibu ya kishenzi ya Mahakama.
ONgezea na yeye amereuliwa na mahakama kuwa kama.mrithi/msimamiz wamali za marehemu.Kama ni account ya bank nenda bank utapewa taratibu zote
Kama ni mtandao wa simu na upo dar es salaam nenda makao makuuu kama Voda nk
Ila cheti cha kifo lazima kiwepo wathibitishe kuwa amefariki
Ongezea asha na neemaPassword inabadilishwaga kirahisi hivyo kama kumshika mwajuma kalio
hahah kwamba suala la wazazi kuondokewa kwa kufatana si jambo lililomleta hapa means hata pole mkimpa ni kama mnamchanganya yeye mpeni mbinu tu aweze kutoa maokoto hayoNdo ulichokuwa unasubiri sikuzote?
Hata mm layman nimeshangaa sna ila nikasema niendelee kujifunza mpk nilipokutana na ujumbe huu kuwa na ww unashangaaTangu lini msimamizi wa mirathi akateuli na mahakama, ni sheria mpya au
Kubabake we mshenzi nakutukana lakini umefungua kodi za kumuangamiza adui dahhh kweli wenye akili wapo big upppppKujua kama laini ya mzee wake ina oesa ni rahisi sana! Anaenda kwa wakala anaiwekea pesa hiyo namba anaeza weka hata buku tu , huku kwemye simu ya mzee itakuja sms inayoelezea pesa iliyowekwa pamoja na salio jipya.
LITA ❌❌❌Hakikisha unapata cheti cha kifo kinapatikana LITA, hakikisha unapata barua rasmi ya kupewa mirathi ya familia hii kikao kikae na ndugu zako watie saini na muhuri wa mwanasheria baada ya hapo piga copy nenda kwenye mitandao.
Anateuliwa na kikao Cha familia na kuthibitishwa na mahakamaTangu lini msimamizi wa mirathi akateuli na mahakama, ni sheria mpya au
Mkuu umemaanisha RITA???Hakikisha unapata cheti cha kifo kinapatikana LITA, hakikisha unapata barua rasmi ya kupewa mirathi ya familia hii kikao kikae na ndugu zako watie saini na muhuri wa mwanasheria baada ya hapo piga copy nenda kwenye mitandao.
Acha ujinga wewe nchi yenyewe tanzania utapeli mpaka kwenye hiyo serikali umejaa unasema ni kosa mtu kutoa pesa kwenye laini ya mzee wake aliefarikiLakini ni kosa kutoa hiyo pesa baada ya muhusika kufariki, hivyo fuata taratibu
Family inateua ila mahakama ina muhidhinisha, kama nimekosea nirekebisheTangu lini msimamizi wa mirathi akateuli na mahakama, ni sheria mpya au