Nawezaje kutoa hela kwenye laini ya mzazi aliyefariki

Kama ni account ya bank nenda bank utapewa taratibu zote

Kama ni mtandao wa simu na upo dar es salaam nenda makao makuuu kama Voda nk
Ila cheti cha kifo lazima kiwepo wathibitishe kuwa amefariki
Wewe unaonekana ni professional πŸ‘πŸΎ
 
Kama ni account ya bank nenda bank utapewa taratibu zote

Kama ni mtandao wa simu na upo dar es salaam nenda makao makuuu kama Voda nk
Ila cheti cha kifo lazima kiwepo wathibitishe kuwa amefariki
Halafu zitaingia kwenye utaratibu wa mirath.Hivyo sidhani kama utaweza kujichukulia tuu zikawa zako peke yako.
 
Kaenibkikao Cha ukoo ateuliwe msimamizi wa miradhi, uende mahakaman kudhibitishwa ,alaf utakua na access ya akaunti tajwa either benk ,simu,na hata hisa kama alikua nazo
 
Mchiz magakama haiteuwi mtu ,ila inadhibitisha kikao Cha ukoo waliye mteua
Msimamizi wa mirathi aliyeteuliwa na mahakama ndiye mwenye mamlaka ya kukusanya na kuzigawa mali za marehemu.Hata kama ni mzazi wako kama hujateuliwa na mahakam huwezi kuzitoa, na kufany hivyo ni uhalifu kama uhalifu mwingine.
a
 
Ukijua namba ya Siri hakuna shida, wengine tunakopa sasa hapo, Iwe MGODI, Songesha n.k, kama madai wamdai Marehem.
 
Kama una uhakika foji kila kitu hz mahakama zetu zinapokea rushwa sna na kampuni nayo za simu zinapokea rushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…