Nawezaje kuwa na furaha na amani ya roho?

Tafuta kitabu kilichoandikwa 'THE POWER OF POSITIVE THINKING'
Kitabu nimekisoma hichi.... Niwe mkweli kilinisogeza karibu na Mungu Wangu...Japo nichadini tofauti na Yangu...wamesisitiza Sana kusali..japo sikukimaliza
 
Ni pm
 
Unaonekana uko real sana na maisha, sometimes pendelea kujitoa out
 
Ccm ikiondoka furaha itarejea.
 
Hio ni hali inayomtokea mtu mwenye malengo fulani na bado hajayafikia, usiiruhusu kubadika na kukukatisha tamaa, bali itumia kama kichocheo cha kufikia malengo yako, fanya utafiti wa njia ambayo unaweza kuichukua ili kufikia malengo yako hata kama itachukua muda mrefu . na ungana na watu ambao wanamalengo sawa na wewe km, semina, matamasha nk, pia kuna mafunzo na ushauri online zifuatilie.
 
Piga chini marafiki zako wote. Usisahau piga chini ndg wote. Ukiweza hama maeneo ya kwenu uliopo.

Nenda mbali wakutafute wasikutafute watajiju. Ukifika huko sali ungana na waumini wapya hawa watakupa tafu ukiwa na shida. Imba kwaya ya kanisa. Jifunze kuhubiri neno kwa kijadiliana na wachungaji wakupe nafasi kwenye mimbali Furaha yako itarudi nyama zitarudi ila usipate gout ajili ya furaha.
 
Kama hujaolewa fanya uolewe kwanza. Kama umeolewa narudi kukupa tiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…