Nawezaje kuwa na furaha na amani ya roho?

Hakika ila mie najiuliza mbona sinaga stress...Sio kwamba shida sina. Zipo nyingi tu na kubwa ila hazijawahi ku overcome furaha yangu.

Yani kuna mtu anaweza akakaa akawa anawazaa mpaka anajiongelesha mwenyewe...Hio hali mbona mie sina? Na sio kuwa huyo mtu hana maisha. Unakuta anajiweza tu anakula bila tatizo ila mtu anajiwazisha kinoma.😂😂😂

Siku ambayo nina stress ujue ni mwanamke ndo kanivuruga au any other external factor ila siwezi anzisha internal stress never.
 
Dah...ili uwe na furaha na amani kihisabati unahitaji nguzo 5 uwe nazo
1. Chanzo cha mapato
2. Ujuzi wowote unaweza kuutumia kusaidia binadamu wengine
3. Imani ya kiroho
4. Mahusiano mazuri na binadamu wengine
[emoji2960]
 
Nawaza Sana kwenda kutembelea mahospitali Ila Sina chakupeleka...Je unaweza kwenda mikono mitupu?...kuhusu yatima Mungu akinijaalia uwezo ningependa kulea au kusaidiana Yatima.
Zawadi haina kiwango..wakati mwingine mtu hupata faraja baada ya kujilinganisha na mwingine mwenye matatizo zaidi yake lakini bado anayo amani au tumaini
 
Ni vyema kulitambuwa hilo mkuu
 
Hu
Huigopi majini mkuu, yani unatembeaje usiku wa saa8 pekeako mkuu😂
akili inakuaga si yangu,huwa siogopi chochote kile nikiwaga ktk hiyo hali

nakumbuka nilishawahi bwekewa na mbwa siku 1 nilisimama nikamuangalia

dogi anakuja tu,kwakua nilikua nina buti la jeje nilimpa shuti 1 la mdomo akasepa

nikaendelea zangu japo yule dogi alisaidia kunipotezea mawazo kdg akili ikawa sawa

ila huwa usiku hata uwe mzito namna gani nikiwa ktk hiyo hali siogopi lolote wala yeyote.
 
Dah...ili uwe na furaha na amani kihisabati unahitaji nguzo 5 uwe nazo
1. Chanzo cha mapato
2. Ujuzi wowote unaweza kuutumia kusaidia binadamu wengine
3. Imani ya kiroho
4. Mahusiano mazuri na binadamu wengine
[emoji2960]
Mkuu unaweza kuielezea vizuri hiyo point namba 4 ndio inatokeaje?
 
Kwa nini umfanyie conclusion mtu mwingine kwa kutumia experience YA KWAKO?
Alishasema yeye mwenyewe kuwa hii hali anayopitia mtoa mada ye anaijua na alishaipitia na akatoa mpaka ushauri jinsi ya kuiovercome.
 
Hapana...Mimi sijafunguwa utotoni nimecheza Sana Sana Sana Sana... natatizo langu Sio upweke...Ni MATATIZO tunya Dunia yananikosesha Raha.
Unahitaji elimu pana sanaaaaa, endelea tu kua mtu wa kijufunza kutakutoa tu.
 
Hapo kwenye ulikuwa mfuasi wa chadema?

Watanzania wengi wanahitaji tiba ya akili sababu wamedhulumiwa vibaya! Msiyachukulie madogo
 
Mkuu tumua VALIUM dozi ya miezi 3, itaondoa stress zote, depression zote, panic zote, social disorder zote n.k

Anza dozi mapema utakuja kunishukuru baadaye.
 
Mkuu tumua VALIUM dozi ya miezi 3, itaondoa stress zote, depression zote, panic zote, social disorder zote n.k

Anza dozi mapema utakuja kunishukuru baadaye.
Duuuuh..wapi nimesema nakosa usingizi...
 
Mkuu tumua VALIUM dozi ya miezi 3, itaondoa stress zote, depression zote, panic zote, social disorder zote n.k

Anza dozi mapema utakuja kunishukuru baadaye.
Ili kuprescribe Dawa..unatakiwa kuwa na information zaidi ya hizi....Kwa niliyoyaaandika huwezi TU conclude kuwa naihitaju Hizo Dawa...
 
Hapana...Mimi sijafunguwa utotoni nimecheza Sana Sana Sana Sana... natatizo langu Sio upweke...Ni MATATIZO tunya Dunia yananikosesha Raha.
Kikubwa kinachokutafuna ni kushindwa kuyaweka wazi hayo matatizo ili usaidike...huwezi sukuma gari ukiwa ndani.
 
Japo umekataa sio mapenzi,
Ila Unahitaji mpenzi wa kweli, umkabidhi moyo wako, Nadhani utasahau shida zote.
Kwa kukadiria tu mkuu Upo single, kama una mtu basi pasua kichwa.
 
Now nimeliona tatizo...cha kusikitisha ubongo wako upo passive kwenye hilo tatizo...I can say this will hardly cured.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…