Nawezaje kuwa na marafiki wengi ili nipate michongo mingi ya pesa?

MCHIMWA

Member
Joined
Apr 21, 2024
Posts
18
Reaction score
38
Wanajamvi naomba ushauri wenu Kwa kuwa napitia kipindi kigumu kutokana na mfumo wa maisha yangu ni kama naisi unaniangusha au nina gundu naitaji kuondoa mkosi.

Mimi sinywi pombe wala sivuti sigara wala bhangi sivuti Kwa ujumla Mimi si mtu wa mambo ya starehe na katika mfumo wa maisha niliojizowesha ni mtu sipendi kukaa vijiweni sanà, na kuna wakati nataka kufanya hivyo ila nakutana na vikwazo,unaenda kukaa mahari mara ghafla wote wanatawanyika.

Siasa haya maisha yananivuruga sanà natamani na Mimi niwe na marafiki WA kubadirishana mawazo kupitia hao marafiki watu wanasema ndio utoa michongo ya pesa, sasa nitumie mipango hipi ili niweze kuwa na hao marafiki.

Kuna mtu mmoja alinishauri nianze kuwa mnywaji pombe, mwingine anasema nifungue biashara ya bar, mwingine Duka,sasa navurugwa sana naitaji marafiki ila kuna wakati naona kama kweli kuna namna nashindwa kujichanganya kwa kuwa sina nyota ya kupendwa naisi kila mtu ananichukia.

Natamani niende Kwa kalumanzila ili anisafishe nyota lakini nakuwa mzito kiasi naona kupata ni bahati Tu si nyota wala mwezi, ivyo naitaji ushauri nataka marafiki wataonipa michongo na connection.
 
Una hivi vitu.

Umesoma una elimu?
Una kipaji?

Ikiwa hauna hivi vitu je unaweza kumuongezea MTU thamani ?

Pombe zinaweza kukutanisha na WATU na wakakupenda Ila pombe haziwezi kukufanya watu wakuamini na ili MTU akupe mchongo anahitaji akuamini .

na we za kukusaidia kuifikia potential utanicheki pm

katika kuongeza thamani maana yake unaweza kumsaidia MTU ili biashara zake isimame . au kufanya kazi kwa viwango vitakavyo onesha kuwa Una tija?

MTU anayekunywa pombe huwa hawezi fanya kazi ya maana na mlevi fahamu hilo

Kuwa sober na kuwa smart upstairs ndo kila kitu.
 
Ikiwa na kipaji mfano nafanya kazi za sanaa au muziki alafu napitia hali kama hyo ya mleta mada ,

je nawezaje kufanya kazi yangu ya sanaa ifike mbali zaidi ikanipa michongo na kuniongezea thamani
 
Wanajamvi naomba ushauri wenu Kwa kuwa napitia kipindi kigumu kutokana na mfumo wa maisha yangu ni kama naisi unaniangusha au nina gundu naitaji kuondoa mkosi.

Mimi sinywi pombe wala sivuti sigara wala bhangi sivuti Kwa ujumla Mimi si mtu wa mambo ya starehe na katika mfumo wa maisha niliojizowesha ni mtu sipendi kukaa vijiweni sanà, na kuna wakati nataka kufanya hivyo ila nakutana na vikwazo,unaenda kukaa mahari mara ghafla wote wanatawanyika.

Siasa haya maisha yananivuruga sanà natamani na Mimi niwe na marafiki WA kubadirishana mawazo kupitia hao marafiki watu wanasema ndio utoa michongo ya pesa, sasa nitumie mipango hipi ili niweze kuwa na hao marafiki.

Kuna mtu mmoja alinishauri nianze kuwa mnywaji pombe, mwingine anasema nifungue biashara ya bar, mwingine Duka,sasa navurugwa sana naitaji marafiki ila kuna wakati naona kama kweli kuna namna nashindwa kujichanganya kwa kuwa sina nyota ya kupendwa naisi kila mtu ananichukia.

Natamani niende Kwa kalumanzila ili anisafishe nyota lakini nakuwa mzito kiasi naona kupata ni bahati Tu si nyota wala mwezi, ivyo naitaji ushauri nataka marafiki wataonipa michongo na connection.
Tafuta pesa utapata kila aina ya rafiki na machawa juu utawapata.
 
nifungue biashara ya bar, mwingine Duka,sasa navurugwa sana naitaji marafiki ila kuna wakati naona kama kweli kuna namna nashindwa kujichanganya kwa kuwa sina nyota ya kupendwa naisi kila mtu ananichukia.
Tatizo lako linaanzia hapo.

Kwanini uhisi unachukiwa na kila mtu??
Anza kwakubadilisha mtazamo ulionao about yourself kwanza, mengine yatafuata.
 
Back
Top Bottom