Wanajamvi naomba ushauri wenu Kwa kuwa napitia kipindi kigumu kutokana na mfumo wa maisha yangu ni kama naisi unaniangusha au nina gundu naitaji kuondoa mkosi.
Mimi sinywi pombe wala sivuti sigara wala bhangi sivuti Kwa ujumla Mimi si mtu wa mambo ya starehe na katika mfumo wa maisha niliojizowesha ni mtu sipendi kukaa vijiweni sanà, na kuna wakati nataka kufanya hivyo ila nakutana na vikwazo,unaenda kukaa mahari mara ghafla wote wanatawanyika.
Siasa haya maisha yananivuruga sanà natamani na Mimi niwe na marafiki WA kubadirishana mawazo kupitia hao marafiki watu wanasema ndio utoa michongo ya pesa, sasa nitumie mipango hipi ili niweze kuwa na hao marafiki.
Kuna mtu mmoja alinishauri nianze kuwa mnywaji pombe, mwingine anasema nifungue biashara ya bar, mwingine Duka,sasa navurugwa sana naitaji marafiki ila kuna wakati naona kama kweli kuna namna nashindwa kujichanganya kwa kuwa sina nyota ya kupendwa naisi kila mtu ananichukia.
Natamani niende Kwa kalumanzila ili anisafishe nyota lakini nakuwa mzito kiasi naona kupata ni bahati Tu si nyota wala mwezi, ivyo naitaji ushauri nataka marafiki wataonipa michongo na connection.