Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Hujachelewa mimi nilianza na 13 years na nina miaka 6 sasa bado still najifunza japo si haba nimejua mengiUmri Kwa sasa Nina Miaka 22. Nimechelewa Sana kuanza ? [emoji849]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujachelewa mimi nilianza na 13 years na nina miaka 6 sasa bado still najifunza japo si haba nimejua mengiUmri Kwa sasa Nina Miaka 22. Nimechelewa Sana kuanza ? [emoji849]
Mhimu ujue una target kufanya nini na hiyo programming kutengeneza startup yako, soko la nje au ndani nk.@pimk
Anza na kuchagua the right career kwenye programming tena the right career kwa kuzingatia kuwa iwe commercial kwa bongo.
Mimi nilichagua Artificial Intelligence na humo humo ndani ya AI nikajikita kwenye Data Science manake hata hiyo AI ni mziki wa miaka mitatu kuiva kila kitu ila kama unasoma for a purpose then you pick and proceed.
Actually kwa beginner nategemea swali lake kubwa liwe career gani itanifaa kwenye programming. Hili swali gumu sana usilichukulie poa. Watu wamesoma soma tu na hawana ajira sababu ya kutopata jibu sahihi la the right career.
[emoji4] Thanks naomba nilirudishe hili swali pia?@pimk

Kwa upande wa soko natamani kitu nitafanya kitaifa na kimataifa....bila limitations.Mhimu ujue una target kufanya nini na hiyo programming kutengeneza startup yako, soko la nje au ndani nk.
Na hakuna kitu kigumu kama kuchagua career kama ulivyosema kuna wakati unapenda aina flan ya programming lakini soko lake unaona kama gumu kulifikia ni mtihani kwa kweli.
Ni vizuri mkuu tambua tu programming ni art and science ukiwagusa watu na bidhaa yako ikawa bora watakulipa tu.Kwa upande wa soko natamani kitu nitafanya kitaifa na kimataifa....bila limitations.
Ni mfano kama E-sports players ambao pia mainly ni programmers. Sio kama ndio nimechagua kuingia E sport moja Kwa moja. ni mfano tuu vile.... Mtu anweza kuswitch mda wowote akafanya kazi ndani na nje with exactly same knowledge.
Mhimu fanya research ya hiyo field uijue vizuriKwa upande wa soko natamani kitu nitafanya kitaifa na kimataifa....bila limitations.
Ni mfano kama E-sports players ambao pia mainly ni programmers. Sio kama ndio nimechagua kuingia E sport moja Kwa moja. ni mfano tuu vile.... Mtu anweza kuswitch mda wowote akafanya kazi ndani na nje with exactly same knowledge.
[emoji4] Basically kwenye soft ware development...Kati ya web developer/ Mobile app developer, games developer.
Siku katishi tamaa ila kwa hiyo age ulosema, nahisi uko Chuo unasoma course ambayo hukuipenda, hapo ukiwa still chuo kufocus ni rahisi, ukija mtaani stori itabadilika,Umri Kwa sasa Nina Miaka 22. Nimechelewa Sana kuanza ? [emoji849]
Kibongo bongo programming inabidi uwe na high emotional intelligence.Siku katishi tamaa ila kwa hiyo age ulosema, nahisi uko Chuo unasoma course ambayo hukuipenda, hapo ukiwa still chuo kufocus ni rahisi, ukija mtaani stori itabadilika,
1- Umri unaenda hujaolewa (Hili ndo kubwa (Kama huna mpango wa kuolewa bahati yako😁😁😁)).
1.5- Mara umepigwa mimba na wahuni.(Siombei hivo ila probability ni hamsini hamsini.
2-Swala zima la Pesa. (Hili halikwepeki, labda kwenu muwe mboga 9).
Mpaka hapo stori za programmer girl zimeishia hapo.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli lakini sio kweli pia...course nayosoma ipo very general inaingia basically sehemu kama zote .. na nilichangua hii sababu nilikua bado sijajipata nataka nini .....Siku katishi tamaa ila kwa hiyo age ulosema, nahisi uko Chuo unasoma course ambayo hukuipenda, hapo ukiwa still chuo kufocus ni rahisi, ukija mtaani stori itabadilika,
1- Umri unaenda hujaolewa (Hili ndo kubwa (Kama huna mpango wa kuolewa bahati yako[emoji16][emoji16][emoji16])).
1.5- Mara umepigwa mimba na wahuni.(Siombei hivo ila probability ni hamsini hamsini.
2-Swala zima la Pesa. (Hili halikwepeki, labda kwenu muwe mboga 9).
Mpaka hapo stori za programmer girl zimeishia hapo.
Lakini pia niliambiwa ukimaster some basics...ni rahisi hata kupata part time jobs..Kibongo bongo programming inabidi uwe na high emotional intelligence.
Unamaliza chuo unakosa hata hela ya vocha unaanza kuona real life mtaani linataka pesa tu na programming haikulipi kwa siku moja au mbili na bado inahitaji resources ili kuendelea kuwa programmer kwa familia zetu ni mtihani unless ulijiandaa vizuri
Kuna too much exaggeration kwenye hii industry kwa bongo kampuni za software kibongo bongo bado zina jitafta kwa sababu soko bado changa na haziaminiki sana.Lakini pia niliambiwa ukimaster some basics...ni rahisi hata kupata part time jobs..
Pana ukweli hapa au ndio Mpaka ufike high level programming
asantee[emoji120]Django Girls is a one-day workshop about programming in Python and Django for women kama ukiwa intrested na pyhton check na hiyo forum ni kwa wadada worldwide
kama ni mdau wa tutorial check na tutsnode.net ila uwe na bundle la kutosha
Soma programming ki commercial zaidi hauta jutia. Programming gurus ni watu wanafanya hip hop. Commercial programmers ni watu wanafanya bongo fleva. Choose wisely.Lakini pia niliambiwa ukimaster some basics...ni rahisi hata kupata part time jobs..
Pana ukweli hapa au ndio Mpaka ufike high level programming
Thank you [emoji4][emoji120]Mkuu, pia jaribu kuangalia unataka kufanya programming kwenye field gani, mfano Web development, mobile applications, Machine Learning / data science, desktop applications developemt au hardware programming.
Baada ya hapo katika hiyo field angalia lugha ambayo ina trend kwenye kupata support na kazi, anza kujifunza polepole.
Kwenye kujifunza nzuri ni kucheki tutorials za video hasa za Udemy na Youtube.
Tutorial za Udemy ni nzuri maana ukimaliza unapata cheti ambacho utaweza kukiweka kwenye resume yako.
Jiunge na Linkedin uweze kuungana na professionals mbalimbali, ambapo pia unaweza kushare ujuzi wako na unaweza kupata kazi pia.
Kingine kikubwa zaidi ni jenga portfolio yako, fanya projects nyingi ziweke Github au uzi deploy kabisa, na share Linkedin pia.
Kama haujaanza kabisa kujifunza programming language yeyote, napendekeza uanze na Python maana ni rahisi na ina uwanja mpana.
[emoji120] Hivi inahitaji watu kuanzia wangapi kufanya startup?Kuna too much exaggeration kwenye hii industry kwa bongo kampuni za software kibongo bongo bado zina jitafta kwa sababu soko bado changa na haziaminiki sana.
Kupata unaweza kupata lakini malipo pia sio mazuri, kwa wenzetu ni kada ambayo ni undisputed.
Ila kama unaweza anzisha kampuni yako au startup yako unaweza faidi japo pia kodi ni changomoto na vijana ni waoga sana kujitegemea.
In short challenge zipo ukizishinda unaweza kufanikiwa.
Ukifuatikia story ya Elon Musk utaiona challenge sio bongo tu hata ulaya japo zinatofautiana
Sawa [emoji23] thanks [emoji120]Soma programming ki commercial zaidi hauta jutia. Programming gurus ni watu wanafanya hip hop. Commercial programmers ni watu wanafanya bongo fleva. Choose wisely.
Ni pm nikufundisheeFemale programmer tupeane namba tuanze kujifunza wote maana nataka nianze JAVA naona uvivu, ngumu, ugumu Kama vipi unda kakundi tuanze nikijua kutengeneza App then Nina pesa nakaa geto tu na launch app zangu kutegemea developer daah