Kuchwizzy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 1,193
- 2,599
Huu uzi una comments nyingi za ku care, nahisi kwa sababu ni "Female" programmer
Sasa niweke utani pembeni, hakuna "Female programmer", just programmer, naona upo interested na programming
Kwa jinsi ninavyo iona trends, focus kwenye area hii ya Natural Language Processing (NLP)
Hakikisha unafahamu basics concepts za Artificial intelligence na Machine Learning kwa ufupi then nenda moja kwa moja kwenye NLP
Kwenye NLP, focus zaidi kwenye Transformer Neural Network, na uanze ku expand knowledge yako kwanzia hapo, ndani ya miaka 4 au 5 ijayo utakua hot kwenye market cause AI Native Apps haswa language models zitakua part ya services nyingi online
Language Pekee unayohitaji kujua sasa ni Python, then itafatiwa na Machine Learning library na framework kama TensorFlow, Keras na nyingine utakazo kutana nazo
Point ni kwamba AI ni new big thing kwa sasa, kuna app na web devs wengi lakini AI devs haswa wa NLP kwetu ni kama hakuna wakati kuna potential kubwa sana kwenye eneo hilo, kubwa sana haswa kwa hapa