Nawezaje kuwa programmer wa kike?

Nawezaje kuwa programmer wa kike?

Je, nawezaje kuwa female programmer? Naanza kusoma vitu gani Kwanza? Kuna vitu vya kusoma kabla ya coding? Je natakiwa nijue languages zote za computer au nikijua python na java zinatosha?

Zingatia: Sio kwenda chuoni au course centres Fulani, naongelea self-taught. Kujifunza mwenyewe maana napenda kuwa programmer lakini sijasomea mambo ya computer, nipo Nasoma vitu vingine lakini programming ndio hobby.
Ni pm nikufundishe
 
[emoji120] Hivi inahitaji watu kuanzia wangapi kufanya startup?
Inategemea, mhimu unatakiwa kujua startup yako inahitaji watu gani then ndio unaanza kutengeneza team yako.
Mfano Apple walifanya partnership wawili Steve job na Steve Wozniak walikuwa na best skills za electronics, walipouza hisa kwa venture capitalist wakawa watatu na kutengeneza kampuni.
 
Anhaaa. Ulitumua means gani self tought au ulisomea Chuo au kama course.
Nilisoma chuo ila nilikua based sana na nertworking lakini badae taratibu nikaanza kuvutiwa na programming ndo nikaanza hapa ukiangalia kwenye profile langu utakutana na thread naelezea programming
 
Inategemea, mhimu unatakiwa kujua startup yako inahitaji watu gani then ndio unaanza kutengeneza team yako.
Mfano Apple walifanya partnership wawili Steve job na Steve Wozniak walikuwa na best skills za electronics, walipouza hisa kwa venture capitalist wakawa watatu na kutengeneza kampuni.
Anhaaa [emoji120]
 
Nilisoma chuo ila nilikua based sana na nertworking lakini badae taratibu nikaanza kuvutiwa na programming ndo nikaanza hapa ukiangalia kwenye profile langu utakutana na thread naelezea programming
Anhaaa [emoji4][emoji120]
 
Anhaaa [emoji120]
Pambana tu mkuu,
Kuna kampuni ziko bongo zinatengeneza software kwa ajili ya wahasibu na muanzilishi ni mhasibu, mahotel, nk.
Na kuna kijana ametengeneza software ya kusupply madawa kwenye maduka na nimfamsia.
Kila kitu kinawezekana
 
Sawaa [emoji4][emoji120]
 
Pambana tu mkuu,
Kuna kampuni ziko bongo zinatengeneza software kwa ajili ya wahasibu na muanzilishi ni mhasibu, mahotel, nk.
Na kuna kijana ametengeneza software ya kusupply madawa kwenye maduka na nimfamsia.
Kila kitu kinawezekana
Hii ndio nilimaanisha nilivyomwambia commercial programming. Ukitaka kuwa guru utakufa njaa mana bongo soko la gurus hakuna. Makampuni makubwa yakitaka gurus yanaajiri toka nchi za india ama na kadhalika. Gurus wa kibongo wanabaki vijiweni. So piga commercial mpango mzima.
 
Ndio hivyo mkuu.
Kuna dogo mwingine anatengeneza mfumo wa kuangalizia matokea kwa Messages kupitia hizo menu za mitandao ya simu anasubiri wizara tu.
 
Sio kweli mkuu kazi ya chatGpt na stack overflow ni nini??
Hapana , Ila ndo ukweli
95% ya Self-taught huwa wanaacha

Coz hauna wa kumuuliza error au gumu linapotokea

Ila - uzuri wa Self-taught - wengi hua na project kubwa na hujifunza kwa haraka
 
Angalia tuu usije ukachukua miaka miwili kujua nini maana ya stack overflow
Ningependekeza upende kusoma zaidi.. sishauri sana kuangalia tutorials.
 
Sio kweli mkuu kazi ya chatGpt na stack overflow ni nini??
Ebu , nenda kwenye ChatGPt , iulize Diamond Platinum ni nani? Kama itakujibu
Kumuuliza swali mtu ni vizuri zaidi.
Stack Overflow ??? - We bado hujakutana errors , tafuta project pasua kichwa

Huyu anataka kuwa programmer wa kuajiriwa - na sio wa kutengeneza vitu vyake mwenyewe. Kwa hiyo angetafuta Bootcamp - atoe Million - ndani ya muda ya mfupi atakuwa fresh

Ila Self-taught wengi , huwa wanafanya vitu vyao wenyewe , Baada ya kazi zao kujulikana , ndipo orders zinakuja
 
Nime analyse neno Diamond Platnum lipo mara ngapi kwenye online content as of now na ni asilimia ngapi ya maneno yote yaliyopo online.

Results ni 0.0000000006178% of all the public online content talks about the keyword Diamond Platnum.

ChatGPT ipo kusolve issues serious sio hizi.
 
Ebu , nenda kwenye ChatGPt , iulize Diamond Platinum ni nani? Kama itakujibu
Kumuuliza swali mtu ni vizuri zaidi.
Stack Overflow ??? - We bado hujakutana errors , tafuta project pasua kichwa

Huyu anataka kuwa programmer wa kuajiriwa - na sio wa kutengeneza vitu vyake mwenyewe. Kwa hiyo angetafuta Bootcamp - atoe Million - ndani ya muda ya mfupi atakuwa fresh

Ila Self-taught wengi , huwa wanafanya vitu vyao wenyewe , Baada ya kazi zao kujulikana , ndipo orders zinakuja
Ni hii chatgpt iliyopass
interview ya engineer wa google.. level 3 anayelipwa dollar 183000 ndio ishindwe kutatua errors za beginner..
 
Je, nawezaje kuwa female programmer? Naanza kusoma vitu gani Kwanza? Kuna vitu vya kusoma kabla ya coding? Je natakiwa nijue languages zote za computer au nikijua python na java zinatosha?

Zingatia: Sio kwenda chuoni au course centres Fulani, naongelea self-taught. Kujifunza mwenyewe maana napenda kuwa programmer lakini sijasomea mambo ya computer, nipo Nasoma vitu vingine lakini programming ndio hobby.

Programming haina jinsia. Tafuta material soma practise utakuwa powa. Ili mradi una dedication
 
Back
Top Bottom