Nawiwa kuongeza mke wa pili

Nawiwa kuongeza mke wa pili

Yaani uesharati na zinaa imekemewa lkn mwanamme anatakiwa aoe mke mmoja ila kufanya uesharati na zinaa kama kawaida.
Hakuna mwanamme wa mke mmoja. Mke huyu anaekuwa hayupo tohara siku 7 za kila mwezi na siku 40 za kila akipata mtt!!!!? Ni ngumu
wakristo weng tumetelekeza agano la kale kana kwamba si sehemu ya biblia.....
 
Waluposema " nendeni na mkaijaze dunia" amli ilitolewa kwa wanadamu wote. Sasa wewe kuongeza mke wa pili huoni kama unatumalizia sisi ambao hatujaoa

ushauri wangu
Kama pesa ipo na unauwezo wa kuhudumia familia wewe ongeza jiko acha kufuatilia dini inasema nini. Endelea kumuabudu Mungu sio dini
# WE LEFT CHURCH NOT GOD
Nakuelewa mkuu
 
Nitajie mkristo hata mmoja kwenye Biblia aliyekuwa na zaidi ya mke mmoja,usijechanganya waebrania,waisraeli wayahudi na wakristo
Kwa maana ya dini kwenye Biblia hakuna dini ya ukristo.. isipokuwa Kuna wamwaminio Yesu Kristo
 
Ndoa ni scam tu iwe ya mke mmoja au wengi, hata wao walioandika hayo uliyoletewa ukaamini habari ya paulo (mzimu wa kizungu) na kupuuza mizimu ya babu zako (probably kwa kuwa hawaongee kikatoliki (English)) wanaacha hizo habari kwa sasa dunia inaenda mbali na habari zisizo na proof za kuaminiamini tu kwa kuwa kasema unayemuheshimu sasa hivi! We oa tu hamna kitakachochange zaidi ya kuondoa msongo wako na kuwa na peace of mind zaidi
Paulo sio mzungu bulaza, lakini Kwa habari ya kuongeza mke wa pili nimekuelewa sana
 
Unalekeshwa na upwiru tu hamna la maana
 
Paulo sio mzungu bulaza, lakini Kwa habari ya kuongeza mke wa pili nimekuelewa sana

Basi tuassume ni mweusi atakua kabila gani labda, msukuma? Hivi vitu vyote tumeimport toka kwa weupe labda kusema wazungu imekuchanganya. Who knows even paulo existed, hata kama ni muarabu au muisrael?
 
Mme Mmoja na Mke Mmoja kama ilivyokuwa Mwanzo,
Mwanzo2:21-24
Mathayo19:4-7
1Wakorintho7:1-4
Hakuna Talaka,
(Mathayo5:30-32)
Una hiari ya kusuka au kunyoa!
 
Habarini Wana jamvi.. mimi ni mkristo na muhudhuriaji mzuri sana kanisani na hata jumuia... Lakini Kuna baadhi ya Mafundisho Nina mashaka nayo sana hasa haya ya ndoa.... Eti mkristo kuoa mke mmoja,,,, mbona kwenye Biblia hakuna maelekezo hayo? Ninacho kumbukusha ni kwamba mtume Paulo alishauri ASKOFU AWE MUME WA MKE MMOJA... hakutaja umma kwa ujumla wake...

Ni hayo tu... Naamini watu wenye fikra tunduizi watatoa maoni... Sitarajii kejeli na udini nataka mjadala wenye hoja za msingi ili kupata muafaka/ suluhisho la mgongano wa uelewa juu swala hili
Nini hasa kinakusukuma kuwa na mke wa pili?
 
Usioe mke wa pili. Kumbuka K Ni Ile Ile hakikisha tu mkeo ametuliza akili wakati akikupea.
 
Habarini Wana jamvi.. mimi ni mkristo na muhudhuriaji mzuri sana kanisani na hata jumuia... Lakini Kuna baadhi ya Mafundisho Nina mashaka nayo sana hasa haya ya ndoa.... Eti mkristo kuoa mke mmoja,,,, mbona kwenye Biblia hakuna maelekezo hayo? Ninacho kumbukusha ni kwamba mtume Paulo alishauri ASKOFU AWE MUME WA MKE MMOJA... hakutaja umma kwa ujumla wake...

Ni hayo tu... Naamini watu wenye fikra tunduizi watatoa maoni... Sitarajii kejeli na udini nataka mjadala wenye hoja za msingi ili kupata muafaka/ suluhisho la mgongano wa uelewa juu swala hili
Huu ni utamaduni wa wazungu kuba babake
Mie ni mkristo babu yangu alikuwa na wake 4...wawili mjini na wawili kijijini na wote waliishi kwa UPENDO.
 
Ninacho kumbukusha ni kwamba mtume Paulo alishauri ASKOFU AWE MUME WA MKE MMOJA..

...wewe ni Askofu kwenye himaya yako pia, sema tu hujui.
Sawa
Lakini kuwa na wake wengi si dhambi.
Mbaya ni kugonga na kuacha.
 
Habarini Wana jamvi.. mimi ni mkristo na muhudhuriaji mzuri sana kanisani na hata jumuia... Lakini Kuna baadhi ya Mafundisho Nina mashaka nayo sana hasa haya ya ndoa.... Eti mkristo kuoa mke mmoja,,,, mbona kwenye Biblia hakuna maelekezo hayo? Ninacho kumbukusha ni kwamba mtume Paulo alishauri ASKOFU AWE MUME WA MKE MMOJA... hakutaja umma kwa ujumla wake...

Ni hayo tu... Naamini watu wenye fikra tunduizi watatoa maoni... Sitarajii kejeli na udini nataka mjadala wenye hoja za msingi ili kupata muafaka/ suluhisho la mgongano wa uelewa juu swala hili
Silimu.
 
Kisheria Hautaruhusiwa..
Kwa sababu wewe ni mkristo sheria ya ndoa ya mwaka 1977 haikuruhusu Kufanya Polygamy Inasema...Kama ukiendelea Kushika Imani ya Kiksrito basi Daima utakuwa Monogamy...

Ila Kidini Hakuna Zuio lolote
Alietunga hii sheria aliiegemea kwenye diini. Kwa nini sheria isiache dini yenyewe iamue badala serikali kuamua .wakiristo wengi sana wameacha kuifuata hii sheria. Wanaanzisha nyumba ndogo wanaendeleza maisha yao, mwishowe Wazungu walimpotosha sana mtu mweusi tena mweusi msomi ndio kaharibikiwa mno japo anajiona anajua kumbe jua linamuwakia.
 
Anataka kuongeza mke, Uislam unaruhusu.
Sio uislsamu tu hta uafrika/ubantu unaruhusu. Umamboleo unakataza wake wengi ila unaruhusu vimada wengi na ndio maana single mother wamejazana na watoto wao walio nyimwa haki ya baba.
 
Back
Top Bottom