washwa washwa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 1,613
- 723
Huyu ni attention seeker tu usimuamini.Freemason hyo hakuna jngne kwnn acnnue sanam ya yesu au ya k2 chcht mpk annue ya shetan tena gharama kubwa hvo...jaman e mkubal au mkatae nay ni freemason kama unabisha jiulze kwnn anapendaga kusema nine double six yan 966 hyo 9 ukiigeuza chin unapata 6 so inakua 666 au angalia ule wmbo wa mr nay utapata majb
umeonaaaeee eti millioni tano, wakati hata laki haifiki.Huyu jamaa anapenda kick za kijinga sana.
Hahahaaa,mjinga sana huyu.umeonaaaeee eti millioni tano, wakati hata laki haifiki.
Huyu jamaa anapenda kick za kijinga sana.
Kumbe shetani yupo hivo
Hahahaaa,mjinga sana huyu.
Eti sanamu ya USD $ 3000! Haya bwana....labda kweli!
Na kuna wajinga wanaamini eti ni kweli na yeye ni Freemason. Huyu anataka kutushika tu akili zetu ila atawapata hao hao wajinga wenzie wa manzese huko.Nafuu umesema yaani ushamba unamsumbua na kupenda sifa za kiboya...hlf analazimisha watu wamuone Freemason sijui anaona ni sifa?
Huyu ni attention seeker tu usimuamini.
Hahahaaa,kiukweli simkubali Ney kabisaaa.Huyu anamzidi Mr. Missifa, mie hata miziki yake huwa nashangaa anawapawishaje wateja, mie naona tu oyo oyooo
Leta uthibitisho sio story za vijiweni.Ila ni kwl kwmb ni mfuac wa wavaa sut
Hahahaaa,umeua aisee!Hahaha....ney unafikiri ufreemasonry ni sawa na kujiunga na act,chadema na ccm???
Na kuna wajinga wanaamini eti ni kweli na yeye ni Freemason. Huyu anataka kutushika tu akili zetu ila atawapata hao hao wajinga wenzie wa manzese huko.