Nay wa Mitego aeleza kwanini alinunua sanamu ya shetani kwa shilingi milioni 5

Nay wa Mitego aeleza kwanini alinunua sanamu ya shetani kwa shilingi milioni 5

washwa washwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2012
Posts
1,613
Reaction score
723
sanamu%2Bla%2Bshetani.jpg

Nay wa Mitego ni mtu wa maamuzi na mapenzi tofauti na wengine. Ndio maana ukiingia ndani kwake utakutana na sanamu isiyo ya kawaida – ni sanamu ya shetani!

Rapper huyo ameiambia Bongo5 kuwa sanamu hiyo ni moja ya vitu anavyovipenda zaidi ndani mwake.

"Mimi naipenda na niliinunua hela nyingi tu, ni dola elfu tatu," amesema Nay.

"Nilitokea tu kuipenda, ni moja kati ya vitu muhimu ninavyovipenda ndani ya nyumba yangu. Kuna sehemu niliinunua sio Tanzania. "Mimi nilitokea kukipenda yaani naipenda sana tena sana na hata ukiingia ndani kwangu utaanza kuiona hiyo," amesisitiza rapper huyo
 
Kama ni mfuasi wa shetani sema tu hakuna shida, yaani unaposema unaipendatu kuliko vitu vyote ndani kwako ina maanisha kama wewe ni mkristo au msilam unaipenda hiyo sanamu zaidi ya maandiko matakatifu.
Jinga kabisa hili
 
Freemason hyo hakuna jngne kwnn acnnue sanam ya yesu au ya k2 chcht mpk annue ya shetan tena gharama kubwa hvo...jaman e mkubal au mkatae nay ni freemason kama unabisha jiulze kwnn anapendaga kusema nine double six yan 966 hyo 9 ukiigeuza chin unapata 6 so inakua 666 au angalia ule wmbo wa mr nay utapata majb
 
Kwani hamjui kuwa ney ni freemason....mnaumiza vichwa kwanin hata kwenye moja ya nyimbo zake kuna mstari unaosema kua yeye ni rafiki wa lusifer utamweleza nini.
 
Freemason hyo hakuna jngne kwnn acnnue sanam ya yesu au ya k2 chcht mpk annue ya shetan tena gharama kubwa hvo...jaman e mkubal au mkatae nay ni freemason kama unabisha jiulze kwnn anapendaga kusema nine double six yan 966 hyo 9 ukiigeuza chin unapata 6 so inakua 666 au angalia ule wmbo wa mr nay utapata majb
Huyu ni attention seeker tu usimuamini.
 
Hahahaaa,mjinga sana huyu.
Eti sanamu ya USD $ 3000! Haya bwana....labda kweli!

Huyu anamzidi Mr. Missifa, mie hata miziki yake huwa nashangaa anawapawishaje wateja, mie naona tu oyo oyooo
 
Back
Top Bottom