Nay wa Mitego aeleza kwanini alinunua sanamu ya shetani kwa shilingi milioni 5

Kama ni mfuasi wa shetani sema tu hakuna shida, yaani unaposema unaipendatu kuliko vitu vyote ndani kwako ina maanisha kama wewe ni mkristo au msilam unaipenda hiyo sanamu zaidi ya maandiko matakatifu.
Jinga kabisa hili

Aseme Mara ngapi mkuu... Kuna moja kati ya nyimbo zake ashasemaga ye ni mfuasi wa shetani,kama wimbo Huo unaitwa,Nasema nao.

Tufanye kumuwazia mema na kumuombea pengine ataacha kukipenda hicho kinyago cha shetani na kupenda vitabu na maandiko ya mungu.inawezekana!
 
Angalia signs alizotumia kwny nasema nao,angalia wmbo wte wa mr nay af tafta cd yyt inayoongelea wasanii na freemason utajua nnachomean
Aiseee! Kumbe unaamini propaganda za kijinga vile? Kile ni kitu ambacho yeyote anaweza kufanya.Mbona huku JF kuna watu wana avatar za ishara za Freemason unataka kusema nao ni Freemason kwa kigezo cha kutumia nembo zao?
 
Niacheni nile ujana alaaa mbona mwaniandama!!!!!
 
Aiseee! Kumbe unaamini propaganda za kijinga vile? Kile ni kitu ambacho yeyote anaweza kufanya.Mbona huku JF kuna watu wana avatar za ishara za Freemason unataka kusema nao ni Freemason kwa kigezo cha kutumia nembo zao?

Mbna unamtetea sana ni binam ako nn
 
Kuna uhusiano wowote wa hiyo sanamu na ibada tusiyoifahamu/isiyowazi?
 
Aiseee! Kumbe unaamini propaganda za kijinga vile? Kile ni kitu ambacho yeyote anaweza kufanya.Mbona huku JF kuna watu wana avatar za ishara za Freemason unataka kusema nao ni Freemason kwa kigezo cha kutumia nembo zao?

We una uhakika gani kama si mfuasi na nani alishajitokeza akaleta na vithibitisho? Nisaidiwe tafadhali
 
Nani alikuambia YESU ni sanamu?

YESU yupo hai na kila mahali haitaji kikaragosi au kinyago chochote cha kumfananisha na yeye sababu yeye sio kinyago Wala kikaragosi yupo hai na anaishi hata sasa.
 
Na kuna wajinga wanaamini eti ni kweli na yeye ni Freemason. Huyu anataka kutushika tu akili zetu ila atawapata hao hao wajinga wenzie wa manzese huko.
Kwani kuwa Freemason ndio ujanja au ndio kama prestige au rank fulani kuubwa sana ambayo inakupa Utofauti wa maana sana na watu wengine mbona ni jambo la kipumbavu tu wa kawaida yeye ndio anaona ni fahari na uniqueness while ni creepy cheaply lunatic.
 
Hamna cha ufuasi wa shetan wala nn mbwembwe tuu Freemason kwa maisha gani??
 
Hahahaaa,basi kuna wajinga wanaamini na kumuona wa maana na mjanja sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…