Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
tena fala sanaFala sana huyu
Fala sana huyu
Jana aliwatusi kabisa kawambia wanafikiri kwa kutumia mat.ako,akaifuta baada ya kushambuliwa sanaMbona sijaona bandiko lolote baya au ubongo wangu umeshindwa kung'amua makosa yaliyo katika wall posts zake
SawaKuna nyimbo ya Niki Mbishi inaitwa ney wa mitego kaisikilize ukipata muda
Kama hapo ni sawa. Akae kimya business is a plan not a warJana aliwatusi kabisa kawambia wanafikiri kwa kutumia mat.ako,akaifuta baada ya kushambuliwa sana
Wewe unatakiwa usikilize ngoma ya Young Killer #TrueBoyaSawa
Ahsante
Mbona sijaona alipowachokoza Wcb au nawe una beef na Nay mzee baba?
kama una damu group B huwez kuambulia kitu hapo bora upite kimya kimyaMbona sijaona alipowachokoza Wcb au nawe una beef na Nay mzee baba?