Nay wa Mitego anahaha kutafuta beef na WCB lakini wamempotezea

Nay wa Mitego anahaha kutafuta beef na WCB lakini wamempotezea

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
1,577
Reaction score
3,146
Alianza hivi
Screenshot_20181125-183621.png
Akaja hivi
Screenshot_20181125-183601.png
Na sasa kaja hivi
Screenshot_20181125-183458.png

Hapa ndipo ninapoanza kumtoa akili huyu jamaa wenzako wamekukaushia wewe unaforce ili mgombane upate kiki,nashauri WCB waendelee kula bati na mambo yao waachane na huyu bwana anataka kuharibu concentration yenu ya Wasafi Festival,ila ninavyowajua hawa jamaa hawana vifua sijui leo kama itapita bila kurudisha dongo.yetu macho na masikio.
Diamond naye kaanza👇👇👇
Screenshot_20181125-185543.png
 
Vijana tuna matatizo makubwa sana " .. tatizo letu huwa tunaweka mahaba mbele hata katika vitu sensitive ".. Mbona sijaona mahali ambapo nay ameonyesha ubaya zaidi ya kutoa ushauri mzuri tu kwa vijana wenzie
 
Neema tangu kitambo sana anajaribugi kumzngua diamond.......lkn mond anapangua na wanaendelea kuwa washkaji.

Na ni marafiki wakubwa sana hao jamaa,,,,, kwa hyo tuwaache tu, wanajuana
 
Back
Top Bottom