Nay wa Mitego anahaha kutafuta beef na WCB lakini wamempotezea

Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah dah hatari sana
 
In life everything is fun when it happen to someone else.. Mimi ni fan wa Mond na WCB lakini kitendo alichokifanya Mond si cha kiungwana na Ney true boy hio post ya pili kaongea fact wakati mwingine ni vizuri kuweka ushabiki pembeni.
 
Vijana tuna matatizo makubwa sana " .. tatizo letu huwa tunaweka mahaba mbele hata katika vitu sensitive ".. Mbona sijaona mahali ambapo nay ameonyesha ubaya zaidi ya kutoa ushauri mzuri tu kwa vijana wenzie
Dharau kwenye post ya kwanza nazo hujaona? Au ni jambo jema kwako?
 
Kuna watu mna mahaba ya kupitiliza, wapi kuna tusi post ya kwanza kahamasisha watu kujitikeza kwa wingi matamasha yote, ya 2 ni ushauri pia ya 3 shida iko wapi?
Kuna watu macho hamnaga? Hyo post ya kwanza huoni dharau kwa wasanii wenzake hapo? Au ww ndio una mahaba kwa ney,hata baya atalosema yani we huskii huoni...
 
True boya
 
Kuna watu mna mahaba ya kupitiliza, wapi kuna tusi post ya kwanza kahamasisha watu kujitikeza kwa wingi matamasha yote, ya 2 ni ushauri pia ya 3 shida iko wapi?
Sio lazma kila kitu uelewe Ila bora kipofu wa macho kuliko kuwa kipofu wa upeo
Dada neey sijui neeena anakosea tu
 
Kuna watu macho hamnaga? Hyo post ya kwanza huoni dharau kwa wasanii wenzake hapo? Au ww ndio una mahaba kwa ney,hata baya atalosema yani we huskii huoni...
Achana nao mapimbi hao,wanajifanya hamnazo
 
Waki tukana wao sawa ila tuki anza mashambulizi mna kimbilia huruma ya wananchi''

Bwana mmoja alianza kwa kusema nyinyi ni wapumbavu
Akajibiwa akanunue sabuni ya kuondoa upele mwilini
Kilicho fata baada ya hapo ni Simanzi
Teh teh teh teh

hahahahaha....we jamaa fala sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…