Nay wamitego arusha jiwe gizani auliza Unatuchezea sinema hadi wana?

Ww ukipiteza daftar au hela afu jamaa akakupa matumaini kuwa itafute tu iyo vizur kufika jioni utakuwa ushaipa na kweli kabla jioni haijafika ushaipata utaamini kuwa yeye ndo aliificha hela yako.....muwe mnatumia na akili kuwaza
Bashite wahed
 
Bavicha ni vigumu kuelewa coz washakalili diamond
 
Ulielewa maneno ya bashite kuwa ndugu zetu wote wanne watapatikana kabla ya j2 wakiwa salama, umeelewa nini hapo?
Binafsi nilielewa Bashite anazijua Hip hopMOVIES hivyo kwake ni kamchezo kaa kitoto ukitegemea yeye anawachezesha mauno hadharan mpaka viongoz wa din unategemea nini?

Yeye ndiye kamanda wa Dar ulitegemea asijue michoro hah hah hah hah .
 
Leo Roma anatakiwa aongee na awataje waliomteka la sivyo ahame nchi maana akituzingua sio muziki tu hata akiuza genge maandazi yake hatununui shwaini.
 
Nay aliyeenda usiku kituoni kuhakiki kama mshkaji wake karejea ndo amemponda mshkaji wake huyo huyo ambaye hata hajasema(naamini Roma hajaongea na nay bado).hapana hili dongo ni la yule aliyetembelewa na Paul jumanne.
 
Bashite wahed
Ukiwa na akili ndogo na ukazoea kulishwa kila kitu.....unakuwa huna Uhuru w kuwaza na kuwazua ni sawa na mtu aliezoea kuangalizia kwny mtihani hata swali rahisi ataangalizia tu, ndo akili zenu bavicha.....ni janga kwa taifa
 
Bongo bwana!
Kwenye baa, hutengenezwa balaa, kufuta hilo baa!
Sasa lile baa la vyeti, na kuteka studio yamekwisha, au vilipatikana?
 

Kuna Chuo Kikuu cha UNAFIKI kinatarajiwa kufunguliwa nadhani ungefaa sana kuwa CHANCELLOR au hata VICE CHANCELLOR wake je upo tayari niku recommend?
 
Ili dongo either Dai au Roma
 
Ukiwa na akili ndogo na ukazoea kulishwa kila kitu.....unakuwa huna Uhuru w kuwaza na kuwazua ni sawa na mtu aliezoea kuangalizia kwny mtihani hata swali rahisi ataangalizia tu, ndo akili zenu bavicha.....ni janga kwa taifa
Alafu Nay anamalizia "Njaa zitatuua" nan huyu mwenye njaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…