Hapo jiwe lmeenda kwa Mond,kwa wimbo ake wa kimbea uleWakuu, kama jamaa kacheza chezo mbona anaonekana amepigwa na anatembea kwa kuchechemea,kama amecheza inawezekanaje atembee huku akiwa mnyonge na alipelekwa hosp kufanya nini, hebu tusubiri aongee mwenyewe maana mtendewa yupo acheni kujipa majibu wakati mtendewa yupo na ataongea.
Mpangaji matokeo ndio namba moja then mondi then tale then then then.....Je, na yule aliepanga matokeo ?
Kabla ya JumatatuMpangaji matokeo ndio namba moja then mondi then tale then then then.....
Kwa hiyo wakamshirikisha na Bashite kuwa atapatikana kabla ya Jumapili!Kama umeshindwa kuelewa hesabu idadi ya maneno hiyo ni movie ya Roma na Ruge iliyobuma hahahaha
Loma ndio yupi huyo?? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]domo sio loma
Kama ka cheza sine ma asingeumia vileKama Roma amecheza sinema kweli, ikithibithika nitakuwa adui wake kwanza na wa mwisho
Hapo jiwe lmeenda kwa Mond,kwa wimbo ake wa kimbea ule
Hukuna kitu kingine utasikia zaidi ya hizi sinema za mtandaoni..We demand the thruth jamani!!! Sio kututolesha povu koooote kule sijui where is Roma then MTU anakuja kuongea upuuzi, Roma we need the truth, with facts!!! Unless ua done!!!
hojazako zipange mapeeeeema sio story story tu!! Zisizo na kichwa wala migulubaja!!!
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Aliumia Ulimboka bwana,yule hajaumia unajuaje kama anavuta tu mguu?Kama ka cheza sine ma asingeumia vile
DOGO linamhusu Diamond.....hiyo na bashiteRoma dongo linamhusu
changamsha ubongo wazazi wenu wakijamba ndo nyie mnaochekaga assholeLoma ndio yupi huyo?? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hapo umemshika pabaya tegemea jibu la kuweweseka.Kwa hiyo wakamshirikisha na Bashite kuwa atapatikana kabla ya Jumapili!
acha wewe domo anajua kila kituHili dongo kwa roma.....ata mm tokea mwanzo nilishtuka adi uzi humu jf nilianzisha, ukweli apa roma kacheza filam la kichina na mda cyo mrefu itabumbulika tu.....atekwe roma kwa kipi alichokifanya washindwe kumteka nay ambae katoa adi wimbo wa kumponda bashite.....roma umetuchezea akili na movie lako la kichina mda cyo mrefu itajulikana tu