Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

Ebu fanya kitu hapa japo naye sijui kashatuacha
Alinda,
 
Frightening world..!

May be one day nitapata courage to utter my story.

Huwa najiuliza kwann Mungu aliruhusu nipitie haya...?

R.I.P Age Mate.
 
sikuwahi kumfuatilia huyu dogo, imeniuma sana kufariki kwake, Nilikuwa naweza kusaidia kwa lolote, Una macho Ya ndani ,Nataman ningesoma reply zako


Mm nimeshindwa hata kifanya kazi..nineanza soma sms zake..mara ya mwisho alinilalamikia sana..nikajitetea😭..aliandika hv; naikopi niweke hapa

Naona tu siku hizi sio sehemu ya maisha yako tena kama zamani sijui nimekuchukiza nn,ni kawaida mimi kukosa ndugu au rafiki wa kuwa upande wangu at least ulijitoa beside majukumu yako mengi.

Nikiangalia nayopitia na mwitiko wako basi naishiaga kuumia tu kila nikikukumbuka.

Every progress ulikuwa hand by hand na mimi hata issue ya kwenda dar kwa yule mama hadi sasa nipo kwa yule mama nakutana na mambo ya tofauti na matarrajio,hata nilivyoweza kufika huku ni Mungu tu alinilinda maana kudandia malori na kupigwa baridi la usiku kucha si kitoto.

Kama kuna nilipokosea nisamehe tu dada yangu sina familia wala rafiki wa kunishika mkono kama ulivyokuwa wewe huwa naumia sana.
 
Bas huenda umefikiria huko nimekua mtu wa kusafiri safiri tu kushift tu yan so nakuwa nachoka alafu ss hv napoish net hakuna...bas naipata kwa mbindee .ukiniona jf jua niko mjini mjini !ndo maana unaona sionekan


NikAjibu hivi
 
Mungu naomba unisamehe kwanzia sasa natubu nimejifunza mengi katika maisha, Huyu dogo niliwahi kuhangaikia inshu yake ya cheti hadi hatua ya mwisho na kufanikiwa.

kosa langu ilifika mahali kadri jinsi alivyokuwa ananisumbua ili niendelee kuwa msaada kwake na kutokana na ubusy wangu ilifika mahali nikasema kama msaada nimeshatoa imetosha, kwa sababu hata hela alizochangiwa nilizitunza mimi mpaka siku zilipokamilika ndio nikamrushia na kwenda kwenda kulipa,

Pia siku anaanza safari ya kuja Singida kufuata cheti aliniomba tuonane ila nilikataa maana nilijuwa tukionana atataka abaki nami,

Mungu nisamehe sikuwa kumbe ulikuwa unataka niwe mlezi na mshauri wa Robin na huenda ningekuwa nae ningemfariji leo angekuwepo na huenda ningepokea baraka kutoka kwa Mungu.

Mungu nipe macho ya rohoni niweze kuona mbali, ukweli machozi yamenitoka na bado nahisi siamini kinachoendelea Mungu mtunze na msamehe kwa maamzi magumu aliyoyachukua,
Nakosa kusema kuwa kwa nini alitaka abaki kuwa kwangu au kwa nini Mungu alinipa nafasi nikaikwepa Mungu nisamehe natubu kwako.

Ushauri wangu ndugu zangu wana jf ifike mahala kabla ya kuhukumu kuwa huyu ni tapeli basi tuwaze kwanza au usicomment chochote.
 
Changamoto ni hapa,aliniambia nitakuwa nafanya kazi ya kutunza miche ya matunda na bustani pia kuisambaza kwa wateja.

Kisochoridhisha ni kwamba hana hata housegirl,hivyo nimekuwa houseboy na housegirl pia,nimekuwa ndo nasqmbqza miche yake,na ana mtoto wa kiume 20yrs yupo kama mental akili hazipo sawa alifeli std 7 na karudia QT mara 4 na mara hii kapata 0 tena,hapq kanifanya mwalimu natakiwa kumfundisha kuandika,english,hesabu na stadi za maisha,mbaya hata kuongea hawezi hivyo natakiwa kumfundisha but no makubaliano ya kuwa mwalimu wala mfanyakazi za ndani na malipo ni yaleyale 50k.

Imagine kufundisha mtoto mwenye matatizo ya akili muda wote lawama tu.

Na usikosee kitu sasa utasemwa hadi basi,ndo nikaelewa kwann alinihitaji,kumbe ili niwe mwalimu wa mwanae.


Kingine siruhusiwi kutoka getini,imqgine nimekuja dar ili niwe nasaka na fursa zingine halafu mtu akwambie uwe ndani tu chance ya kufanikiwa ni ndogo.

Now nasoma computer kwa kuwa tu na mwanae anasoma hapa na najua anaexpect mwanae afaulu through mimi licha ya changamoto za mtoto mwenyewe.


HII NDO LAST SMS YAKE NIKAMJIBU KOMAA TU CHANGAMOTO HAZIKOSEKANI...😭😭😭
 
Nilikuwa nawasiliana nae pia na Alinambia anakujua...


Sijacomment popote pale hadi mtu mmoja anipe confirmation kama ni kweli kafariki maana nina doubts zangu. Si kwa ubaya lakini

Sijaamini hadi sasa


Hata mm sijaamin..nimepekua sana simu zile nambq zake zingn sjaona ..nadhan zilikua kwa simu nyingine .napiga zantel wanadai amefungiwa
 
Hata mm sijaamin..nimepekua sana simu zile nambq zake zingn sjaona ..nadhan zilikua kwa simu nyingine .napiga zantel wanadai amefungiwa
Ni kweli hajawahi kupatikana toka simu zianze kufungiwa. Kuna mtu anafuatilia hiyo issue sister, atatupa habari kamili maana mimi hadi saa hii naona many gaps yaani story haikamiliki unless nipate confirmation
 
Back
Top Bottom