Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

Ahsante sana, sikuwahi kuwaza kama nina kipaji, nawapa shukrani za dhati, asanteni sana.
Simulizi iliyoandikwa na mtu mwenye kipaji utaijua pale ambapo utakapogusa mstari wa kwanza huwezi kuiacha kuisoma hadi mwisho. Sina sababu ya kukuvisha kilemba cha ukoka. Nitasoma simulizi uliyoniambia kwamba uliiandika. Najiandaa kufurahia andiko lako
 
Pole sana mpe hi sana, shida usiku sasa ngumu kuelewana...

Pia masikio ni kiungo kigumu kutibika so just accept this and introduce deaf culture

Ni kitu cha kawaida tu
Unanifanya nimkumbuke Baba yangu ni kiziwi toka mwaka 1996 lakini Mola ni mzima natamani nimsaidie asikie tena maana aikuangaalie mdomoni muda mwingine anakuelewa
 
Imani yangu ilitetereka, mpadri ni watu wa ajabu sana hakika.

Nilibaki na maswali mengi, wanamudu vipi kuwa mioyo migumu kiasi hiko?

Hichi kipande kimenishtua mnoo.Kama ni kweli dah tumwachie Mungu
 
We jamaa umekata tamaa so kufanikiwa itakuwa ngumu boss.. Mi mwenzako nina degree ys USDM ya PSPA na ninauza viatu karume na goli ni la mwana wa darasa la saba lakini maisha yanaenda, namkaza mtoto mzuri wa kihaya, nakula vizuri, weekend elegance kama kawa. I dont give a gaadm kwani siku ikitaka kuja itakuja tu.
Hakika!
 
Hahaha. .. Kuna wengine wanafanya but sio ile ya kuwa cronic kabisa ..1 wapo ni mimi ..naweza kukaa hata mwezi 1 but next month hapo lazima nitafute manzi ili kupunguza mlipuko wa hisia ' mwilini
Mwezi...? Duh!
 
Simulizi iliyoandikwa na mtu mwenye kipaji utaijua pale ambapo utakapogusa mstari wa kwanza huwezi kuiacha kuisoma hadi mwisho. Sina sababu ya kukuvisha kilemba cha ukoka. Nitasoma simulizi uliyoniambia kwamba uliiandika. Najiandaa kufurahia andiko lako
Tuanzie hapa hapa kwenye kipaji cha uandishi! Kwanini Miguu ya kuku usiandike kitabu cha hadithi na simulizi za chombezo ukapiga hela? Naona kama kipaji ni utajiri, anyway kama tulivyozungumza pm,ntaangalia namna naweza kukusaidia kwa kadri ya urefu wa kamba yangu.
 
miguu ya kuku, But huo uandishi utakutengenezea hiyo hali! Niamini mimi. ukiandika kwa njaa ,utapata shibe! Harakati hazijawahi kuwa rahisi!
 
Kwa wanajamiiforums mlioko mtwara kutananeni na huyu mtu. Kama ni kweli tumuanzishie fund. 1 akakomboe cheti, akajifunze elimu maalum aweza kuwa mwalimu wa watu wenye ulemavu wa masikio. 2. Maxence take charge.
Nashauri wanaJF wote tumsaidie kwa kuchanga chochote ili mwenzetu apate japo mradi wa kuku wa kienyeji. Katoa namba yake ya simu.
 
Mleta mada, ni kwamba bado hausikii vuzuri mpaka sasa?

Kama ndio, je unadhani leo hii ukipata uwezo wa kusikia vyema, utaweza kujikomboa kiuchumi?

Je, haujafanikiwa kupata vifaa vya kusaidia kusikia?
 
Ndio tatizo bado lipo mpaka sasa na nimelifahamu kiundani na kulikubali.

Nadhani, kupoteza uwezo wa kusikia kulilta athari nyngi sana katika maisha yangu, lakini bado hatuwezi kujua kilicho mbele yetu, hivyo nina matumaini mengi pia.

Kupata uwezo wa kusikia kwa sasa bado hakutaweza kufukia mashimo yaliyokwishaachwa, kutaimarisha maisha yangu lakini si kutatua hali ya sasa kwa ukamilifu.

Honestly, nitafurahi kama nitasikia na natamani iwe hivyo natmani sana,lakini sijichukii kwa hivi nilivyo, i am proud of myself too.

Matibabu yote kwa hospitali za hapa nchini nimepata lakini hakukuwa na manufaa, hata vifaa saidizi pia havijanisadia.

Honestly nikiambiwa nipelekwe nje ya nchi kwa matibabu, nitasema hapana, nitahitaji hiyo pesa ya matibabu kuyajenga maisha yangu yaliyobaki.

Je! itashangaza kwa maamuzi hayo? Kwangu hatoshangaza ni kwa sababu baada ya mahangaiko yangu juu hili nafasi ya mwisho nimemwachia MUNGU.
Mleta mada, ni kwamba bado hausikii vuzuri mpaka sasa?

Kama ndio, je unadhani leo hii ukipata uwezo wa kusikia vyema, utaweza kujikomboa kiuchumi?

Je, haujafanikiwa kupata vifaa vya kusaidia kusikia?
 
Back
Top Bottom