Frightening world..!
May be one day nitapata courage to utter my story.
Huwa najiuliza kwann Mungu aliruhusu nipitie haya...?
R.I.P Age Mate.
Frightening world..!
May be one day nitapata courage to utter my story.
Huwa najiuliza kwann Mungu aliruhusu nipitie haya...?
R.I.P Age Mate.
Ladt visit yake ni tatehe 19 janWangari Maathai, Nilikuwa nawasiliana nae pia na Alinambia anakujua...
Sijacomment popote pale hadi mtu mmoja anipe confirmation kama ni kweli kafariki maana nina doubts zangu. Si kwa ubaya lakini
Sijaamini hadi sasa
Ladt visit yake ni tatehe 19 jan
Nimeshapewa confirmation ni kweli amefariki.
Last time nilichat nae whattsap tar 19.1 af kajiua 20. Its really heartbreaking ..i'm literally speechless brother
Wangari Maathai
Jamani.. Nimetoa hadi Machozi..Pole sana Dear.. Nakumbuka aliwahi kunichek siku moja DM.. Naomba Mungu anisamehe sana.Amen love. Naamini ananibariki tu!..leo moyo wangu unauma!...huyu dogo had saa8usk anakutxt..anakuambia mama sijala toka jana natetemeka ...jamani !...nashukuru sijawah muignore hata siku moja!yaani ningekuwa nimewaza mbali zaidi huyu ningemshawishi hubby tuishi naye tu mradi kuishi naye! Kilikua kilio chake daily mama nisaidie nitoke hapa nyumbani[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Alikuambia nn?...dah..mm moyo unauma..aliwah niomba nimfanye kuwa mwanaye nikamwambia ww ni mwanangu...utofauti uko mbal tu na wanangu ..jaman kumbe ningemleta tu kwangu ..aliwah had nitaftia mdada wa kazi😭😭😭😭
Hebu funguka...to speak pia ni healing
Haha haaaaWe jamaa umekata tamaa so kufanikiwa itakuwa ngumu boss.. Mi mwenzako nina degree ys USDM ya PSPA na ninauza viatu karume na goli ni la mwana wa darasa la saba lakini maisha yanaenda, namkaza mtoto mzuri wa kihaya, nakula vizuri, weekend elegance kama kawa. I dont give a gaadm kwani siku ikitaka kuja itakuja tu.
He ! Makubwaa michozi inanitoka hapa ngoja nitoke humu kwanza.Alikuambia nn?...dah..mm moyo unauma..aliwah niomba nimfanye kuwa mwanaye nikamwambia ww ni mwanangu...utofauti uko mbal tu na wanangu ..jaman kumbe ningemleta tu kwangu ..aliwah had nitaftia mdada wa kazi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Umefanya kwa sehemu yako mamyNdama dume,
Mimi pia alitaka sana kuja tufanye wote kazi..lakini akakiri hizi kelele za machine zitamsunbua zaidi .na nilipoona hata kuongea vzr hawwz nikamuweka bench[emoji24][emoji24]..rip Robin..nilikusaidia nilipoweza