Nayaona Maisha ya Gamondi Yanga kuwa mafupi sana

Ushindi mwembamba eee.....mpira sio Kama yule demu wako uliyozoea kumpiga BAO kadhaa....siku mkifungwa labda ndio utakumbuka hii thread
 
Wewe nilikwambia ukashangilie mchezo mwingine una lazimisha sana na unatumia nguvu nyingi sana uonekane unaujua. Huyo niliye m quote ni shabiki wa Simba na ameelewa point yangu ni ipi. Ila wewe upo kishabiki tokea mwanzo wa uzi wako ni ngumu kuelewa kwasababu umejivisha vazi la usimba na uyanga. Humu kuna watu ni mashabiki wa Simba na Yanga ila wametanguliza uanamichezo kabla ya ushabiki ndio hao wanaoweza kuelewa nilichoongea.

Wewe rudi kwenye uzi wako wa Kutamani Kagoma apangwe na Mavambo ili ukauendelezee madhaifu na ubora wa hiyo combination kwenye timu yako ya Simba.
 
Kuna watu wanakenua ngojea tuwaone wao kwa Azam na mechi ijayo nayo wapo nje. Hamchelewi kukumbuka bil 20.
 
Ushindi mwembamba eee.....mpira sio Kama yule demu wako uliyozoea kumpiga BAO kadhaa....siku mkifungwa labda ndio utakumbuka hii thread
Ndio maana nilikwambia wewe ni mjinga na mpumbavu usiyejua mpira, nitajie ni timu gani duniani isiyofungwa. Kumbe wee ni mjinga kiasi hiki? Kufungwa ni kawaida kwenye mpira na sio ajabu. Madrid, Man City, Barcelona, Bayern Munich, Liverpool hizo zote pamoja na ubora na ubora wao wanafungwa kwenye ligi sembuse Yanga. Ndio nyie mmeanza kufatilia mpira baada ya Azam kuanza kurusha matangazo ya mpira mnaleta vituko humu
 
Bado yupo sana, na atazidi kuwapiga hadi mchakae.
 
Mkuu tuambie ni mfumo gani waliotumia Ken-Gold kucheza na Yanga.
 
Hiyo hoja niliiota mwezi mmoja ukiopita.....na Leo imefanyiwa kazi kwa 100% Tena kwenye mechi kubwa.....shinda Iko wapi......huenda ni Kocha mwenyewe kajiongeza au Kuna mdau humu ( wa karibu na Kocha ) kampelekea haya mawazo yangu, inawezekana ata ww hapo ulipo unafurahi Simba kufika makundi CAFCC bila kujua Mimi ndio mwenye mchango mkubwa wa kimawazo......jamii forums ni kubwa sanaa ndio maana Mimi na ww tupo hapa, vile vile kwa mwingine nk....sawa dogo??
 
Goal 5 5 zitaanza soon mtasahau yote hayo ambayo umeandika hususani mnaowaona vigogo watachezea sana 3+ msimu huu.
 
Tuacha na Yanga yetu maisha mafupi kwa Gamondi kwani wewe ndiye uliyemleta? Mashabiki wa Yanga wenyewe wameridhika na performance na matokeo wewe unaleta shobo na timu isiyokuhusu. Mpira sio kama unavyokata nyanya nyumbani kwako kuwa umekariri lazima iwe hivi, mpira kuna siku timu itashinda magoli mengi, ipo siku utashinda magoli machache tena kwa tabu na ipo siku utatoa sare au kufungwa. Ulizihesabu idadi savea alizofanya kipa wa Ken Gold? Zile ni on target ila kipa kuinusuru timu yake ifungwe goli chache hivyo bahati ilikuwa ni upande wao.

La mwisho ni kwamba hiyo Ken Gold sio mara kwanza kucheza na Yanga, ilishawahi kucheza na Yanga mwaka 2021 kwenye FA cup na Yanga alipata goli moja tu kwa tabu mno na mchezaji mmoja wa Yanga akala kadi nyekundu dakika ya 84. Hivyo jitahidi siku moja moja za weekend ujitahidi uwe una maliza kupika chakula mapema na kazi zako za nyumbani ili uwe unafatilia na mechi za ulaya ili uwe unajifunza kuhusu mchezo wa mpira wa miguu uone huko ulaya timu iliyo na wachezaji ghali, wenye profile kubwa na wenye ubora wanavyoangaika na timu za daraja ya chini saa zingine. Ila ndio mpira ulivyo
 
Hoja maandazi hii! Simba mnapigwa tena mkono!
 
Kumbe we ni kolo a.k.a mbumbumbu ndio maana umeandika pumba
 
Siku akipoteza ndio watu Kama ww mnakuwa wakwanza kuja HAPA jukwaani na kulia Lia bila sababu ya msingi, Leo nimekuja na nyuzi hii hapa JF mna panick bila kutumia akili

Ww ni Moja ya wengi ambao hamueshimu muda ( kwa maana ya mpira una hitaji muda na sio ushabiki lialia ), pili hupendi kukubali ukweli ya kuwa mpira unaongozwa na mambo mengi Kama; mifumo, maandalizi, kusomana nk.

Umesoma Mimi sijui mpira ( ni sawa kwa mitazamo wako ), ukaenda mbali zaidi na kusema hata mpira wa ulaya sijui, ni wazi umepaniki.
Hivi kwa mfano nikuulize swali la kizushi TU, Unahisi Yanga atachukua ubingwa milele??, na akikosa utasema utatoa sababu gani ya msingi???, achaga utoto jibu kwa kutumia akili
 
Wewe ni kocha wa timu Gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…