Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swadakta dalaber kunywa soda nitalipa mimiMatambiko ni kilele cha shirki
Ndugu mbona umekuwa mkali mno?
Jaribu kuwaeleza kawaida watakuelewa mkuu tu.
Inasikitisha sana kuwa watumwa wa dini na imani za watu mpaka tunachezewa akili. Kuna yule nabii wa Afrika Kusini anayewaambia waumini wake wapige punyeto kwanza kabla ya kusali na wanafanya hivyo tena mbele ya watoto wao. Yaani dini zinatumiwa kutufanya sie waafrika wajinga, yaani basi tu.
Hiyo imani si bora uilekeze kwa Mungu kuliko matambikoMatambiko ni mhimu sana sana , ni kweli matambiko sio ushirikina ila yanafania na ushirikina
Cha mhimu wakati unafanya tambiko au unazunguka mti ili upone uwe na IMANI ,moyoni mwako kusiwe na mambo mawili liwe tu like ulilolikusudia
Mfano, unatambikia mvua inyeshe ukiwa umepiga magoti (kuna mambo unatakiwa kufanya akati umepiga magoti siwezi kuyaandika hapa)
Amini kabisa baba yako alipiga magoti mbele ya uchi wa mama ako ukazaliwa ,naye pia baba ako alizaliwa kwa baba ake kupiga magoti mbele ya uchi wa mama ake hivo huko waliko wanawajibu wa kutusaidia sisi tulioko huku duniani ,
Moyoni mwako kunatakiwa kuwe na limoja tu kuwa itanyesha na sio kuanza kuwaza hivi itanyesha kweli?
Mfano tena umeamua kulivulia shamba nguo amini kuwa uchi wako utatenda kitu Kwenye shamba na sio kuanza kujihisi labda utakuwa umejidhalilisha.
Kwenye matambiko cha mhimu ni Imani Kali sana, moyoni kusiwe na mawili, usifanye ukiwa umelewa
Mkuu kutoka kwenye huo utumwa ni kazi ngumu mno watu wametopea uko Kabisa, Na niwana andanwa kweli.kweli na mabalaa wanabaki kuhama hana mara leo kanisa hili mara kesho lile, Hakuna namna watu wataacha huo ujinga
Matambiko ni kilele cha shirki
Ndio maana mpaka kesho mtakua hopeless na kubara gwenu. Mnashindwa kuenzi na kuviboresha vya kwenu kisa kuiga kila kitukwa uelewa wangu imani yeyote ambayo haimuhusishi Mungu aliye hai ni ushirikina... kufanya matambiko ni ushirikina pia hauna tofauti na uchawi
Ndio maana mpaka kesho mtakua hopeless na kubara gwenu. Mnashindwa kuenzi na kuviboresha vya kwenu kisa kuiga kila kitu
Yaani nyie mmekua watumwa kuliko hata wazee wenu