Nayo ni hisani ya Rais Samia?

Asipoamia haitakuja kamwe.

Ccm ni watu wa hovyo sana
 
Huu Uzi wa Kaka NyaniNgabu unauchafua au nianzishe Uzi wa kumzingua Country? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Naona umejichoka sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Acha uzi wanaume ambao sio waoga wamwage madini, ww kunguru muoga twende kwenye li uzi lako ulilomfungulia da mau la kuiomba πŸ˜œπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Fwalaaaa kabisa niombe Nini ? UTI sugu na gonorrhea? 🀣🀣🀣
 
Na kipaumbele rais anapewa toka ccm. Kwahio katiba haiwezi badilika kama ccm itaendelea kua madarakani
Hapana.
Mbona unasahau kuwa huko CCM unakokusema ni huyo huyo ndiye rais/Mwenyekiti wao!
Kwa hiyo "kipaumbele" anajipa mwenyewe.
 
Pia, msimamo wa kuwa tunahitaji katiba mpya inayoendana na mazingira ya siasa za ushindani za vyama vingi, wengine tumekuwa nao tokea miaka ya 90 huko.

Tukirudi nyuma kwenye ulimwengu wa kimtandao, tokea Nyenzi.com, bcstimes.com, youngafricans.com, tanzatl.org, jambo forums.com, na mpaka leo hii hapa JF, msimamo wa kwamba tunahitaji katiba mpya ni ule ule.

Consistency personified.
 
Hii katiba inapendwa na walioko madaraka tu.

Nje ya hapo ni mjinga tu atasema inafaa
100%nakuunga mkono. Shida yangu mimi hawa wafuasi wa marehemu. Iweje leo na wao wadai katiba mpya.wakati alipokuwepo mwenda zake walikaa kimya?
 
si wew wala mtu mwingine binafsi, chama au kikundi chochote, ama kwa mihemko au mamlaka yake au yao anaweza kukwamisha au kukwamua suala la katiba ispokua wanainchi na waTanzania wote πŸ’

hii dhana ya ati kikundi, chama au watu fulani pekee, ndio wana hamu au wanahitaji sana na katiba kuliko waTanzania wengineo ni useless πŸ’

ni porojo tu, na story na makelele, na kubwekabweka ambako inafaa kupuuzwa tu πŸ’
 
CCM NI WAPOTOSHAJI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…