Nayo ni hisani ya Rais Samia?

Nayo ni hisani ya Rais Samia?

Katiba mpya!

Hivi, upatikanaji wa katiba mpya nayo ni hisani ya Rais Samia [mimi simuiti Dokta kwa sababu hastahili kuitwa hivyo]?

Nimeona mara nyingi vya kutosha sasa watu wakisema:-

1. Samia atuletee katiba mpya.
2. Samia atupatie katiba mpya.

Sielewi kabisa. Kwani yeye huyo Samia ndo ana uamuzi wa mwisho kuhusu hiyo katiba mpya?

Ni hisani yake yeye huyo Samia, ambaye ni mtu mmoja tu, kutuletea Watanzania zaidi ya milioni 60, hiyo katiba mpya?

Kwa hiyo Samia akikataa kuleta hiyo katiba mpya, ndo basi tena?

Sisi Watanzania kuna kitu hakiko sawa kwenye psyche yetu.
Asipoamia haitakuja kamwe.

Ccm ni watu wa hovyo sana
 
Huu Uzi wa Kaka NyaniNgabu unauchafua au nianzishe Uzi wa kumzingua Country? 😂😂😂
Naona umejichoka sasa 😂😂😂
Acha uzi wanaume ambao sio waoga wamwage madini, ww kunguru muoga twende kwenye li uzi lako ulilomfungulia da mau la kuiomba 😜🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Naona umejichoka sasa 😂😂😂
Acha uzi wanaume ambao sio waoga wamwage madini, ww kunguru muoga twende kwenye li uzi lako ulilomfungulia da mau la kuiomba 😜🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Fwalaaaa kabisa niombe Nini ? UTI sugu na gonorrhea? 🤣🤣🤣
 
Na kipaumbele rais anapewa toka ccm. Kwahio katiba haiwezi badilika kama ccm itaendelea kua madarakani
Hapana.
Mbona unasahau kuwa huko CCM unakokusema ni huyo huyo ndiye rais/Mwenyekiti wao!
Kwa hiyo "kipaumbele" anajipa mwenyewe.
 
Hakuna kilichobadilika practically juu ya msimamo wa awamu ya Magufuli na awamu ya Samia juu ya katiba mpya.Kinachonishangaza mimi ni mtu kuona msimamo wa katiba mpya awamu ya Magufuli ulikuwa sawa na huu wa Samia juu ya suala hilohilo,na ambao kimsingi ni msimamo uleule,eti haupo sawa!

Simkubali huyu wa sasa,na sikumkubali yule aliyepita pia,ila namchukia zaidi mtu mnafiki ambaye vita yake inaangalia nani ni muhusika,na sio kipi kinahusika.....Inasikitisha sana
Pia, msimamo wa kuwa tunahitaji katiba mpya inayoendana na mazingira ya siasa za ushindani za vyama vingi, wengine tumekuwa nao tokea miaka ya 90 huko.

Tukirudi nyuma kwenye ulimwengu wa kimtandao, tokea Nyenzi.com, bcstimes.com, youngafricans.com, tanzatl.org, jambo forums.com, na mpaka leo hii hapa JF, msimamo wa kwamba tunahitaji katiba mpya ni ule ule.

Consistency personified.
 
Hii katiba inapendwa na walioko madaraka tu.

Nje ya hapo ni mjinga tu atasema inafaa
100%nakuunga mkono. Shida yangu mimi hawa wafuasi wa marehemu. Iweje leo na wao wadai katiba mpya.wakati alipokuwepo mwenda zake walikaa kimya?
 
Katiba mpya!

Hivi, upatikanaji wa katiba mpya nayo ni hisani ya Rais Samia [mimi simuiti Dokta kwa sababu hastahili kuitwa hivyo]?

Nimeona mara nyingi vya kutosha sasa watu wakisema:-

1. Samia atuletee katiba mpya.
2. Samia atupatie katiba mpya.

Sielewi kabisa. Kwani yeye huyo Samia ndo ana uamuzi wa mwisho kuhusu hiyo katiba mpya?

Ni hisani yake yeye huyo Samia, ambaye ni mtu mmoja tu, kutuletea Watanzania zaidi ya milioni 60, hiyo katiba mpya?

Kwa hiyo Samia akikataa kuleta hiyo katiba mpya, ndo basi tena?

Sisi Watanzania kuna kitu hakiko sawa kwenye psyche yetu.
si wew wala mtu mwingine binafsi, chama au kikundi chochote, ama kwa mihemko au mamlaka yake au yao anaweza kukwamisha au kukwamua suala la katiba ispokua wanainchi na waTanzania wote 🐒

hii dhana ya ati kikundi, chama au watu fulani pekee, ndio wana hamu au wanahitaji sana na katiba kuliko waTanzania wengineo ni useless 🐒

ni porojo tu, na story na makelele, na kubwekabweka ambako inafaa kupuuzwa tu 🐒
 
Katiba mpya!

Hivi, upatikanaji wa katiba mpya nayo ni hisani ya Rais Samia [mimi simuiti Dokta kwa sababu hastahili kuitwa hivyo]?

Nimeona mara nyingi vya kutosha sasa watu wakisema:-

1. Samia atuletee katiba mpya.
2. Samia atupatie katiba mpya.

Sielewi kabisa. Kwani yeye huyo Samia ndo ana uamuzi wa mwisho kuhusu hiyo katiba mpya?

Ni hisani yake yeye huyo Samia, ambaye ni mtu mmoja tu, kutuletea Watanzania zaidi ya milioni 60, hiyo katiba mpya?

Kwa hiyo Samia akikataa kuleta hiyo katiba mpya, ndo basi tena?

Sisi Watanzania kuna kitu hakiko sawa kwenye psyche yetu.
CCM NI WAPOTOSHAJI
 
Back
Top Bottom