stakehigh JF-Expert Member Joined Aug 9, 2019 Posts 40,702 Reaction score 41,213 Jul 24, 2025 #1 Kama bado upo kwenye ujana, jitahidi sana kufanya mazoezi kwa wale ambao bado mko chini ya 40, fanya vyote ila mazoezi usisahau! naongea ivi kwa huzuni baada ya kushuhudia watu wana magonjwa ambayo hospitali wanasema hauna dawa, pia issue ya kisukari ni kubwa sana usisubiri mpaka magazeti yaanze kuandika www.jamiiforums.com
Kama bado upo kwenye ujana, jitahidi sana kufanya mazoezi kwa wale ambao bado mko chini ya 40, fanya vyote ila mazoezi usisahau! naongea ivi kwa huzuni baada ya kushuhudia watu wana magonjwa ambayo hospitali wanasema hauna dawa, pia issue ya kisukari ni kubwa sana usisubiri mpaka magazeti yaanze kuandika www.jamiiforums.com