Pre GE2025 Nazitafuta kura za Lissu kesho sizioni zinapatikana wapi? Msaada kwa mwenye kujua atashidaje uenyekiti CHADEMA?

Pre GE2025 Nazitafuta kura za Lissu kesho sizioni zinapatikana wapi? Msaada kwa mwenye kujua atashidaje uenyekiti CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Inaonekana timu ya Lissu kama vile wanajua watashindwa, kwa nini zinaanza hoja za kuhamia NCCR Mageuzi, CHAUMMA , ACT n.k mara chama kipya
 
Tunamshukuru Lissu kwa kushiriki ni kweli uchaguzi umeufanya umepata airtime kubwa sana nchini na nje. Asikate tamaa siasa ndivyo zilivyo bado ana muda wa kutosha wa kufanya siasa.

Kwa washabiki zake poleni, ushindi ni lazima kura zitoshe hii ndiyo demokrasia tuliyoichagua.
 
Tumeanza kuona
1737383073545.png
 
Kura zinapigwa na wajumbe;nikiangalia muundo wa CHADEMA na wajumbe wapiga kura sioni Lissu anakura
Hii January Ina balaa, Kwa hiyo unataka uambiwe kwamba Joseph ataenda kupiga kura, Elpaul haendi, Comte atapiga kura mbili, my take uchaguzi maana yake watu watachangua kilichobora by will or influence atakaye PATA kura nyingi ndo mshindi.
 
Inaonekana timu ya Lissu kama vile wanajua watashindwa, kwa nini zinaanza hoja za kuhamia NCCR Mageuzi, CHAUMMA , ACT n.k mara chama kipya
Issue sio kushinda issue ni figisu, kama wagombea wao wanakatwa ina maana hata tume imeshawekwa "vizuri"
 
Inaonekana timu ya Lissu kama vile wanajua watashindwa, kwa nini zinaanza hoja za kuhamia NCCR Mageuzi, CHAUMMA , ACT n.k mara chama kipya
Huo ni uchanga kwene siasa. Yaleyale ya Mchungaji laghai Bwana Msigwa.
 
Back
Top Bottom