Pre GE2025 Nazitafuta kura za Lissu kesho sizioni zinapatikana wapi? Msaada kwa mwenye kujua atashidaje uenyekiti CHADEMA?

Pre GE2025 Nazitafuta kura za Lissu kesho sizioni zinapatikana wapi? Msaada kwa mwenye kujua atashidaje uenyekiti CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni siri ya Wapiga kura! Kesho wananchi watapigwa butwaaa!
 
LISSU SIO MLA RUSHWA ANAICHUKIA RUSHWA.

RUSHWA NI ADUI WA HAKI.
 
Inaonekana timu ya Lissu kama vile wanajua watashindwa, kwa nini zinaanza hoja za kuhamia NCCR Mageuzi, CHAUMMA , ACT n.k mara chama kipya
Waende na matusi yao kokote waendako, au waanzishe chama chao wawe wanatukana asubuhi mpaka jioni tuone watashinda vipi hizo chaguzi.
 
Kura zinapigwa na wajumbe;nikiangalia muundo wa CHADEMA na wajumbe wapiga kura sioni Lissu anakura
Lema ana mdanganya na kumpotosha Lisu kwamba eti kua kwa press conference nyingi ndio kushinda uenyekiti wa chadema taifa, wajumbe sio muhimu :pedroP:
 
Uchaguzi ukiwa huru na haki Lisu atashinda.
Sioni sababu ya kumfanya Mbowe ashinde
 
Watu wana dhambi sana, walimdanganya Lissu kwamba anaweza kupambana na Mbowe na kumshinda.
 
Back
Top Bottom