Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unaamini hivyo basi tuache ramli chonganishi.Matamko siyo kura za wajumbe elewa hilo kwanza. Maria Space and others siyo sehemu ya kura tarehe 21/01/2025
Kwani Mbowe atapigiwa kura na akina nani?Kura zinapigwa na wajumbe;nikiangalia muundo wa CHADEMA na wajumbe wapiga kura sioni Lissu anakura
Waende na matusi yao kokote waendako, au waanzishe chama chao wawe wanatukana asubuhi mpaka jioni tuone watashinda vipi hizo chaguzi.Inaonekana timu ya Lissu kama vile wanajua watashindwa, kwa nini zinaanza hoja za kuhamia NCCR Mageuzi, CHAUMMA , ACT n.k mara chama kipya
Kwani wewe ni nani mpaka uzione?Kura zinapigwa na wajumbe;nikiangalia muundo wa CHADEMA na wajumbe wapiga kura sioni Lissu anakura
Lema ana mdanganya na kumpotosha Lisu kwamba eti kua kwa press conference nyingi ndio kushinda uenyekiti wa chadema taifa, wajumbe sio muhimuKura zinapigwa na wajumbe;nikiangalia muundo wa CHADEMA na wajumbe wapiga kura sioni Lissu anakura

Hayo ndio majizi ya mwamba yanataka kuziiba kura za lissuMzee kura ni Siri boss