Nazunguka hapa JNIA, sijaona mkusanyiko wa aina yoyote

Status
Not open for further replies.
labda mkwara wa Roberts Amsterdam ulisaidia. Jamaa aliwaambia kila moja atambeba kivyake
 
Dah umeandika kifundi kweli kweli ccm wenzio lazima waamini haya tena unaonekana ni mtaalam wa mambo haya kwa jinsi ulivyopanga maelezo tunajua polisi huwa hawaogopi mpango dhalim ila hawakupta maelekezo na kilichowasaidia cdm ni msiba bila hivyo mapokezi yasingekuwepo
 

Hayo si yako hapo wanaambiwa ccm wenzake ndio rahisi kuamini bila kutafakari
 
Niliifahamu huu ukweli long a go....

Then wanauliza maandamano ya amani kwann polisi kutumia silaha za moto?



 
Kama
Kama ni hivyo ni vema polisi Sasa Wala waacha Chadema na vyama vingine vifanye siasa Bila mikwala ili tujue mbovu na mbichi
 
Mahesabu haya danganyi mtaingia tu kwenye 18 kama mmeona mmeruka kigingi!
 
Wewe Nigarawhat!!??!!!!mada ya hivyo sana hii. Munajaribu kujitoa shimoni kwa nguvu kweye Shida hizo za mauaji ya watu larking watz sasa hivi si wajinga!
 
Alichosem Lema ni sahihi kwa 100%... mchawi akikutendea mema, jiulize mara 100%! siyo kufurahi tu...ukweli ni kwamba akili ya Police TZ ni ile iliyosambazwa siku ya Jumamosi - Kuzuia 'mkusanyiko' pale JNIA kwa gharama zozote ili kumfurahisha bwana mkubwa! nadhani walipewa ushauri 'wa kiwango cha dunia' na mtu asiyejulikana hata wakaacha kufanya nia yao ovu. ukweli mwingine ni kwamba, kama police wangetumia nguvu, hapo ndipo 'attention' ingehama kutoka kwa 'maombolezo ya kitaifa' kwenda kwa Tundu Lisu. walishauriwa vizuri. Jeshi la polisi LAZIMA lijifunze kuacha kuleta vurugu na machafuko dhidi ya wapinzani. period.
 
Aliona vurugu za polisi ni mtaji wa kisiasa kwakuwa worldwide media zina angalia Lissu kurudi Tanzania

Polisi Waka myuti..... chenga ya mwili[emoji3][emoji3]
 
Aliona vurugu za polisi ni mtaji wa kisiasa kwakuwa worldwide media zina angalia Lissu kurudi Tanzania

Polisi Waka myuti..... chenga ya mwili[emoji3][emoji3]

Unavyodhani sivyo walijua tu mapokezi hayatakuwa na madhara ila wangeliingilia kuvuruga mapokezi matatizo yangetokea ushauri waliopewa ulikuwa mzuri
 
Ukitaka kujua ni kweli ndio iliyokuwa mipango ya hawa maharamia,angalia michango ya nyumbu wao katika hii thread.

Wamejaa upepo sio kawaida.
Maumivu yakikuzidi kanywe panadol! WanaJF sio wajinga,ukileta uzi wakipuuzi unakula za uso tu!
 
Unalazimisha wishfull thinking yako kuwa uhalisia.

Jibu linaweza kuwa ndyo au hapana ila huwezi kuprove..
 

Mkuu, Asante kwa kumgonga nyoka wa kijani kichwa..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…