Nazunguka hapa JNIA, sijaona mkusanyiko wa aina yoyote

Status
Not open for further replies.
Kila mada mtaandika mwaka huu.

Tatizo lenu mnatumia hisia badala ya uhalisia.

Kwani kumpokea ndugu yako ni kosa?

Ni mara ngapi ccm wanawapokea watu wao na hatuoni policcm wakiwasumbua?

Hawakupenda patokee vurugu lakini sikawaida yao policcm wasiwasumbue na kuwapiga chadema.
Ndio tabia ya waoga
 
Ukitaka kujua ni kweli ndio iliyokuwa mipango ya hawa maharamia,angalia michango ya nyumbu wao katika hii thread.

Wamejaa upepo sio kawaida.
 
Mkuu kama ni hivyo kwa nn usiwaruhusu wafanye yao bila polisi
Kwamba risasi ya bastora na bunduki za polisi SMG inafanana kiasi polisi anashindwa kujua risasi iliyo muua Akwilina ni ya bastora au ya SMG,kijana tafuta kazi ule kwa halali.
 
Mbona wewe kama Musiba!? Special unit ilishindwa kuwashughulikia waliompiga Lissu risasi lukuki! special unit inashindwa kumshughulikia msiba na maguberi wengine! Juzi msiba amesema kuwa akina lema wamebeba sumu ya kumuua Lisu. Tahadhari ni kuwa sasa mbinu za kumuua lisu zitabadilika akina msiba watatumia sumu hata kucollude na mahospital Lissu beware. Lakini hamna shida Mungu anasafisha njia kila kisiki kitachimbuliwa come october 2020 trust My GOD
 
Wameshangaa sana kutokupigwa walishazoea kupigwa kiki zao kwenye msinba zote zimekataa kuanzia uwanja wa ndege mpaka taifa hawakuingia maana hawajui hata protoko au itifaki
 
Nyuso zimewashuka dadeki zao. Wanafikiri Tz ni danguro kila mtu anaweza iongoza eti.
 
Mkuu binafsi nilikuwapo msibani jana na hata JKNIA juzi kama mtanzania Mzalendo. Utakuwa na nini cha kuwaambia watanzania wewe?

Nimeshindwa kwenda Lupaso lakini ningewakilisha kule pia. Kwa dhati kabisa.

Rais alipolia, hakulia peke yake. Tumelia wengi. Achilia mbali wenye machozi yenye kuingia ndani.

Waliokuja kumuaga mzee Mkapa ambaye ni Rais wetu, mtanzania mwenzetu na binadamu aliyetutangulia wanastahili shukurani na faraja toka kwa walio na hekima lakini.

Kurejea kwa salama kwa Lissu si mchezo wa paka na panya. Ni furaha iliyoje aliyekufa akifufuka?

Tuwatambue kwa majina yao wote wenye nia ya kutugawa, kwa hakika tuwanyime nafasi hiyo.

Hata mzee hajazikwa mmeanza? Watu wa namna gani nyie?

Au yale yale ya: "tunatoana roho, Yarabi. Kwa mali alizoacha baba."

Tuwakilishane Lupaso.

Apumzike kwa amani Muhidini Mwalimu.

Apumzike kwa amani mzee wetu Mkapa.
Mkuu magari ya bure kwenda lupaso yalikuwapo.
 
Umeandika maelezo marefu kabisa lakini ungeweza kuyafupisha na kueleza ya kuwa "Busara imetumika na amani imetawala'.Kabla ya ujio wa Lissu Polisi ambao kila wakati wandai hawatumia taarifa za mitandao katika shughuli zao walitumia mitandao hiyo na kutoa onyo kali.

Onyo kali la Polisi katika kipindi hiki cha awamu ya tano si onyo la kulichukulia kimzaha (Happy triggers Police) lakini tumeshuhudia waliokuwa na ujasiri wamempokea mpendwa wao kama simba walivyopokea kombe lao.

Kwa hivyo kwa Lema na kwa Chadema waliyopitia ni lazima wajiulize mara mbili na hii inaitwa "too sweet to swallow"
 
Duu! Kumbe bado mnateseka sana na jeshi la polisi kudeviate mlichotegemea! Humu JF mlichochea jeshi na kupendekeza hadi hatua za kuwakamata CHADEMA waliopanga kwenda kumpokea kiongozi wao! Wengine wakaenda mbali hata kujaribu kulishawishi jeshi la polis kutumia msiba wa Mkapa kama sababu ya ya kupiga marufuku mapokezi ya Mtanzania mwenzetu na kiongozi halali wa kitaifa! Furaha yenu haikutimia sasa mmegeukia upande mwingine, mtashindana hamtashinda na mtasubiri sana aisee!
 
MACHALE YA JESHI LA POLISI, GODBLESS LEMA, CHADEMA NA MIPANGO HARAMU ILIYOFELI:

#Nanukuu : "Sina amani kwa tabia nzuri waliyoonyesha Jeshi la Polisi jana wkt wa mapokezi ya Mh Tundu Lissu.Nina paswa kujiuliza maswali mengi na majibu yawe tofauti na fikra za watu wengi, ninaona ni kama chloroquine imepakwa sukari,kuna kitu kinafikiriwa na sisi tunapaswa kufikiri zaidi - Godbless Lema.

MYTAKE :

Ukisikiliza Maelezo ya Hovyo toka kwa Lema na Kwa akili za Ufipa Street utaona kabisa walitamani Wadundwe, Watawanywe kuliko kuachwa...Hawa Walijiandaa na Walishajua kuwa Askari Watafika na kuwatawanya kama ambavyo Barua ya Polisi ilivyoainisha!..So kutofanyika kwa jambo hilo kumeharibu kabisa Mipango wa Maharamia hao,...Hii haiihitaji Betting, kifupi Mpango ulikuwa hivi:

Polisi Wangeingia Kati na kutawanya Mkusanyiko wa Chadema pale Airport basi kama kawaida Chademaa ingetumia Special Unit ya vijana wake maalumu ambao wangejichanganya katikati ya Mkusanyiko wa Nyumbu na kufyatua risasi zinazoweza kudhuru raia na kuzua GUMZO la violence na Msala kuangukia kwa jeshi la Polisi..."Hii inaitwa "Nyumbu kudhuru Nyumbu"..Special unit hii ya vijana hawa inasemekana ndiyo miaka ya Nyuma ilitumika kupiga mpaka Mabomu ya Moto katikati ya Mikusanyiko ya Chadema pale Arusha ikiwajibu polisi waliorusha "Mabomu ya Machozi"...Raia Wakafa! Jumba Bovu kwa Polisi.

Siasa za Kilofa Hasa!... Dola nyingi Afrika kwa kutokushtuka Mapema zimenasa katika mtego huu, polisi wengi wamenasa ktk Mtego huu na kujikuta too late ktk kujinasua...na inasemekana vikundi hivi Maalumu hupokea Mafunzo na Posho kwa ajili tu ya kuleta taharuki ndani ya Mikusanyiko mbali mabali haramu, Vikundi hivyo vipo tauari hata kama ni kwa kumwaga damu ya waandamanaji na finally Nchi husika kuingia katika Machafuko kama Tunisia.

Nikumbushe tu kwamba Tarehe 19 september 2018 Taifa likiwa ktk uchaguzi Mdogo Jeshi Polisi lilimkamata Wakala wa Chadema ndani ya Chumba cha Kura akiwa na Barua Feki, Furushi la Nyuki na Bastola yenye Risasi 15 .

Probably Malengo ya Wakala yule yalikuwa kuanzisha Vurugu eneo la uchaguzi na kwenye Mkusanyiko wa watu kisha amwage Nyuki, Watu wakiwa wanakimbia hovyo hovyo na Askari kujitokeza kutuliza Ghasia ndipo Wakala huyo angetumia Bastola hiyo kutandika Risasi Raia mmoja halafu Kesi inakuwa ya Polisi, Lawama kwa Serikali, reporters ni DW, BBC na VOA....Yale Yale ya Kinondoni kwa Akwilina na Mabomu ya Arusha....Hawa ni watu wa Matukio na nina Hakika Kauli ya Lema inapaswa kufikiriwa zaidi na kufanyiwa kazi zaidi, ni kauli iliyotangulizwa tu huku Matukio yakiandaliwa!.
James Bond 007 katoa makala!

You my brother,you are a fool!
 
Kifupi huna akili...
 
Umeandika maelezo marefu kabisa lakini ungeweza kuyafupisha na kueleza ya kuwa "Busara imetumika na amani imetawala'.Kabla ya ujio wa Lissu Polisi ambao kila wakati wandai hawatumia taarifa za mitandao katika shughuli zao walitumia mitandao hiyo na kutoa onyo kali.

Onyo kali la Polisi katika kipindi hiki cha awamu ya tano si onyo la kulichukulia kimzaha (Happy triggers Police) lakini tumeshuhudia waliokuwa na ujasiri wamempokea mpendwa wao kama simba walivyopokea kombe lao.

Kwa hivyo kwa Lema na kwa Chadema waliyopitia ni lazima wajiulize mara mbili na hii inaitwa "too sweet to swallow"
Unamzuia mwenzio kuandika maelezo marefu halafu na wewe unatujazia maelezo marefu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom