Bahati nzuri wewe si mshauri wa Tundu Lissu
Eti nawe umetumwa kuwaponda chadema. Ujue. Kwenu Lumumba unaonekana una akili. Nenda kachukue buku 7 yako kazi tayari.
Wasiyo julikana wameanza kujitokeza baada ya maombi ya watanzania wapenda amani kuwaombea mabayaHii ni nini sasa
Hata sijaelewa!
Umeandika vitu mia kwa wakati mmoja!
Mara lile, mara hili, mara nyuki..... tushike lipi jombaa?
Nyumbu yangu lini akaelewa analiwa na mamba leo kesho anavuka palepale pimples kiitikio USONI.............!!!!!!!!!!
Mmezoea kubambikizia kesi za uongo.. hivi unafikiri Kuna wajinga wa kuamini huu utumbo?
It is simple
Hawatazuiwa kufanya lolote,Lissu akiwemo ndani
Baada ya kura hawatakuwa na la kusema
Lissu ataongea yooote anayotaka katika nchi aliyosema hamna demokrasia!!! Atakula maneno yake mwenyewe
Infact polisi na ccm will ignore them, kuna limit waki cross bila kujua watakosa pa kushikia
Kwa ujinga wao, watacross hiyo limit